Wakati ukuta,Kutana na wakongwe wa mieleka ktk uzee wa

Wakati ukuta,Kutana na wakongwe wa mieleka ktk uzee wa

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
Wazee wa kutunisha misuli ktk uzee wao.Kweli wakati ni ukuta!!Hapa ni katika machweo yao,lkn bado wapo moto moto
image.jpeg
image.jpeg

image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    67.3 KB · Views: 102
Kaka barafu , mimi nilidhani umetuwekea picha za Power Iranda, TX Chaka, Power Benard, power Mabula,
Ha ha ha ha mkuu Kituko bahati mbaya hawa wa kwetu hatuna kumbukumbu nao kwa njia ya picha.Sijui hata watoto wetu tutakapowasimulia mazingaombwe ya kina Power Mabula,Power Iranda na Donda la Kichwa Mkaguzi Mkono tutasemaje
 
Balaa kabisa kaka
 
Nimemwona Robby Robinson [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
nasubiri triple h,undertaker,Batista,Kane,john cena,Dave,Roman,The rock,Shawn Michael,CMPunk maana hao ndo waliokuwa wanantia uchizi home!!!
 
Back
Top Bottom