Wakati ukuta,Kutana na wakongwe wa mieleka ktk uzee wa

how old r they? mi naona sio wazee kiviiileeee!
 
Kaka barafu , mimi nilidhani umetuwekea picha za Power Iranda, TX Chaka, Power Benard, power Mabula,
Ha ha ha ha mkuu Kituko bahati mbaya hawa wa kwetu hatuna kumbukumbu nao kwa njia ya picha.Sijui hata watoto wetu tutakapowasimulia mazingaombwe ya kina Power Mabula,Power Iranda na Donda la Kichwa Mkaguzi Mkono tutasemaje
 
Balaa kabisa kaka
 
Nimemwona Robby Robinson [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
nasubiri triple h,undertaker,Batista,Kane,john cena,Dave,Roman,The rock,Shawn Michael,CMPunk maana hao ndo waliokuwa wanantia uchizi home!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…