Wakati umefika bunge letu kumwalika Rais wa Ukraine kulihutubia kwa njia ya video link

Wakati umefika bunge letu kumwalika Rais wa Ukraine kulihutubia kwa njia ya video link

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Hii haiepukiki. Ni Lazima Bunge letu limualike Rais wa Ukraine Zelensky alihutubie kwa njia ya video link jinsi afanyavyo kwa mabunge mengine.
merlin_203939625_36111491-655c-4249-9935-f1729d8d3c72-articleLarge.jpg
 
Mmsamehe tu mleta hoja ndiio akili yake ilipoishia, kumiliki Tecno old model speed 2g hata picha haoni anajikuta great thinker
 
Yeye akajadiliane na putin kwenye ile meza yake ambayo ina ukubwa sawasawa na uwanja wa mpira.
 
Kwanini?
Huyu reckless comedian ataleta uhasama kati ya Tanzania na Russia na kitu ambacho unatakiwa kuheshimu kwa usalama wa taifa.
 
Sisi ni neutral, mambo yao tumewaachia wenyewe...
 
Back
Top Bottom