Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Kweli kabisa . Na itakuwa ngumu sana kwake kupewa urais wa ZanzibarHuyo hana shida na Urais huyo anajambo na Zanzibar
Kuna watu wapo nje ya Nchi wanamtumia
Kanye. Akili mgando.Huyo hana shida na Urais huyo anajambo na Zanzibar
Kuna watu wapo nje ya Nchi wanamtumia
Zamu yao bado!habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
Kitaeleweka tu!!!!!Kweli kabisa . Na itakuwa ngumu sana kwake kupewa urais wa Zanzibar
Wenzake wote sasa wanalea vitukuu,labda agombee Tandika kwa wapemba wenzake.habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
habari ndugu zangu wana jamii forum....

Adhma yake na wenzake ni kuvunja muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, kisha kuiunganisha Zanzibar na uarabuni (eg. Oman, Iran, Falme za Kiarabu).Huyo hana shida na Urais huyo anajambo na Zanzibar
Kuna watu wapo nje ya Nchi wanamtumia
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
habari ndugu zangu wana jamii forum....
nionavyo Mimi ..maalim seif ajaribu kugombea urais wa jamhuri ya muungano kwa sababu hizi
1: amegombea Zanzibar kwa takribani miongo mitatu bila mafanikio...hivyo ajaribu na JMT
2: maalim seif ni mwanasiasa makini hivyo akigombea JMT na akashinda Tanzania nzima itanufaika na uongozi wake
Unaweza kusibitisha mkuu...Huyo hana shida na Urais huyo anajambo na Zanzibar
Kuna watu wapo nje ya Nchi wanamtumia
Dah akili nyengine.Adhma yake na wenzake ni kuvunja muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar, kisha kuiunganisha Zanzibar na uarabuni (eg. Oman, Iran, Falme za Kiarabu).
Unaweza kusibitisha mkuu...
Mbona mimi siioni...Ipo wazi kiongozi