Wakati umefika UKAWA wapiganie muungano wa vyama uwe kikatiba na tume huru

Wakati umefika UKAWA wapiganie muungano wa vyama uwe kikatiba na tume huru

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,031
Reaction score
268
Wasalaam

Ndugu wana jamvi kwa maoni yangu
Imefikia wakati wabunge wa ukawa wapiganie muungano wa vyama utambulike kisheria na kupatikana kwa tume huru na matokeo ya uraisi yaweze kuhojiwa mahakamani
Hii si tu pekee itawezesha kukuza demokrasia
Na kuondoa manung'uniko kwa kiwango kikubwa

NATUMAI

Tumain Makene upo
Jussa ismail
Heche john
Patrobas katabi
Mkosamali
Kafulila david
Mnayaona haya na Mtayafanyia kazi

NAWASILISHA
 
Mods kwa heshima naomba uzi huu uhamishiwe jukwaa la siasa
Nimeiweka hapa kimakosa
 
Back
Top Bottom