Wakati unaishi hostel, ni tukio gani lilitokea ambalo hutokaa ulisahau?

Mtoa mada unaonekana n jinsi gani ulivyokua mnafiki in short n kwamba watu kama nyie ndo mnaokuja sababisha wengine watimuliwe hata kazini.Yan mtoto wa kiume unakua na tabia za Uchonganishi kama Mawifi?
Infact hata mm nlikua na washikaji zangu walikua wana tabia kama zako za kusnicth na kuchonganisha watu nlipowajua tu wotee Nikawafyekeeeeleeeaaa Mbali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hata mimi ningembutua tabia za kishoga anakuja kujisifia hapa mpuuzi sana.

Kwahiyo wewe na mafala wenzako mkawa mnajiona wajanja? Nguruwe
Ndio kiukweli mimi na washkaji zangu tulikua mafala sana, sisi ni nguruwe kama unavyosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ulikua unaishi na vibaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika gazeti nimeishia kati kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuusoma huu Uzi ila kutokana na mashambulizi ya wanazengo imenibidi niusome.
 
Jamani Babe wangu aliibiwa polee,
Yan huyo mwizi ningempata angejuta kuzaliwa na angeacha wizi siku hiyo hiyo,
[emoji35][emoji35]

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…