Wakati unasoma ni Debate topic gani ambayo ilikuwanga inakupa hamasa ya kuchangia

Wakati unasoma ni Debate topic gani ambayo ilikuwanga inakupa hamasa ya kuchangia

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
maswala ya debate katika mashule ni njia moja wapo zuri sana yenye kujengea confidence kubwa ya kuongea mbele ya watu wengi bila uonga wowote, vile vile debate ni njia moja wapo zuri inayokuongezea uwezo wa kufahamu vizuri lugha ya kingereza.

kama wewe uliwahi kushiriki katika debate najua kuna mada ambazo ulizipenda na zilikuwanga zinakufanya uwe na hisia kubwa za kutaka kuchangia.
naomba tukumbushane mada ambazo ulizipenda.

kwa mimi ni hii hapa the coming of white people in africa was brought more development kiukwel hii debate topic huwanga inanikumbusha shuleni kabisa hasa kwenye mashindano ya shule moja na nyingine.

nakumbuka nikiwa shule hiyo mada ilinetegenezea umarufu mkubwa shuleni na watoto wa kike wakawa wananishobokea, hasa kwenye mashidano ya shule moja na nyigine, mmmh! siongee sana!!
 
Duuuh aiseee......shule ya msingi kunakuwaga na debates eeeh?

shemeji Khantwe shule tulizosoma sisi wakati ule zilikuwanga na tebates, sijui shule uliyosoma wewe.
 
Last edited by a moderator:
the coming of white people in africa was brought more development
 
money is better than education
core education is better than single uducation
 
Kwahyo wanafunzi wote na walimu waliokuwa wanawaelekeza...siku zote hamkugundua ubovu wa kiingereza kwenye hiyo motion????

Au wewe ndo umeiandika unavyofikiria???…lugha za watu mkuu......hicho kiinglish siyo kabisa
 
The comming of white in african continent course destructin of our culture. (discuss)
 
Scientific innovation jiopadise human existance. (Discuss)
 
Back
Top Bottom