respect? what respect.....................huku unaninyonya ulimi na kunilembulia huku unasema hutaki......inayofanana na unanitaka......nikueleweje kama siyo geresha zako lol.........nikuachie khalafu kesho unicheke..........
Karibu. And a gentleman will stop when told so, and he will never have sex with a woman when he knows she is not enjoying. These ar the men I respect.
North America feminism at its ugliest height............sasa uliolewa au utaolewa yaani ufanye utakavyo si kheri ukabaki mwenyewe huko kwako .........ukajifaragua uonavyo...............ukiolewa amri ni moja tu............kama anakuhitaji mkabidhi vyake bila kuleta zengwe............
Ladies its easy for you to blame someone lakini mnasahau haya yote most of the times mnayaleta wenyewe.too much flirting with someone you are not serious with ndo kinachowacost,kuna njemba zingine ukizibip zinapokea
Ikiwa mama ameridhika na tendo hilo piaUmeolewa unabakwa? Au unamridhisha mmeo?.
Unaenda kulala kwa bf, kitanda kimoja, afu unasema hukukusudia kubanjuliwa?
Kilichokutoa kwenu ni nini? Chakula?
Nyie vijana wa kisasa acheni kutuzingua bana.
Duuh, hapo kazi...ndio maana tukatofautishwa na wanyama coz we have capability to control ourselves!
Hahaha...maybe comfort beside you not necessarily ku-do. Whatever, the case kama haujapewa greenlight wewe ni mbakaji tu, ukishtakiwa unaenda kulala segerea.
Ruta kwa mtazamo huu utaanza kushambulia wadada walioacha boobs na cleavage zao nje nje kwa maana ya kuelewa wanafanya hivyo ili wewe ufanye kitu. While praying, do something about it too. Unafanyaje ngono huku haumsikilizi mwenzio? Unaanza kunipa imaginations, kha!
sasa mama unamlaumu nani wakati wote mmepata utamuuumeolewa unabakwa? Au unamridhisha mmeo?
Unaenda kulala kwa bf, kitanda kimoja, afu unasema hukukusudia kubanjuliwa?
Kilichokutoa kwenu ni nini? Chakula?
Nyie vijana wa kisasa acheni kutuzingua bana.
Thats too harsh, inamaana ukiolewa wewe unakuwa ni sex slave...
Hahaha...maybe comfort beside you not necessarily ku-do. Whatever, the case kama haujapewa greenlight wewe ni mbakaji tu, ukishtakiwa unaenda kulala segerea.
Mie mtu akiniletea za hivyo, namfukuza hata kama ni saa saba za usiku maana nitaozea Segera tu.
Huwezi kunikalisha kwenye toothpick usiku kucha mwana wa mwenzio lol
Ikiwa mama ameridhika na tendo hilo pia
Kwa Wachaga haswa waliokulia Uchagani weeee lazima utumie nguvu...
Madamex nakupenda sana lakini kwenye hili yaelekea.....we have profound differences........ukiwas wangu yawaje useme umekuwa mtumwa wa sex........unapompenda mwenzio maana yake ni kumhudumia siyo kusubiri wewe kuhudumiwa.............love is about giving not receiving or putting your MAN on the receiving end..........na ndiyo maan Mtume paulo alisema mwili wako no wa mumewe ndiye mwenye sauti nao.........1 Corinthians 7:5-6
Mie mtu akiniletea za hivyo, namfukuza hata kama ni saa saba za usiku maana nitaozea Segera tu.
Huwezi kunikalisha kwenye toothpick usiku kucha mwana wa mwenzio lol
I believe in give and take. If you wanna give and I don't want to don't push me.....
Na ndo hutakaa umuone tena maishani kwako, is it worth it?
Hehehe, kama nakuona unavyokalia toothpick usiku kucha, manake shurti **** moja,lol