technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Binafsi niliwai kufanya tukio la "Kugonga kengele ya kuwaita wanafunzi tena assemble wakati mwalimu wa zamu alishawatawanyisha wanafunzi"
Niligonga halafu nikakimbia nyumbani watu wakakusanyika tena assemble aisee kesho yake nilichezea sitiki sitalisahau lile tukio nikiwa darasa la 5!
Uliwai fanya tukio gani shule ambalo hautolisahau?