Wakati vijana wakilia mtaani hali ngumu Diamond azidisha ubunifu wa kupiga pesa

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Baada ya Magufuli kuingia madarakani vijana wengi kwa sasa wanalalamika mtaani kugumu, msanii Diamond aja na ubunifu mpya wa kutengeneza pesa.

Mpaka sasa ni hakuna show yeyote aliyofanya Diamond ndani ya nchi ameendelea kutengeneza pesa kwa kuwatumia wasanii wake kupiga show za ndani huku yeye akiendelea na show za nje.
 
Maisha magumu mnamsingizia Magufuli kama enzi ya Baba Mwanaasha mlikuwa nazo vile.
 
Yeye anatengeneza pesa nyingi sana kuliko wanamuziki wote Tanzania WAMEBAKI NA "HUYU SIO MWANAMUZIKI BALI MSANII"

kama usanii unapiga pesa, kwanini uwe mwanamziki ambapo hakuna Pesa. mwacheni apige Pesa msanii wetu, jpo huku kwetu magu amebna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…