joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Ina maana viongozi wa Kenya hawajui kwamba Kuna raia wao wanakufa kwa wingi kuliko raia wa Ukraine, au kwasababu shida za Wakenya haziwezi kuwapa umaarufu katika majukwaa ya kimataifa?
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app