MY TAKE; Ina maana viongozi wa Kenya hawajui kwamba Kuna raia wao wanakufa kwa wingi kule raia wa Ukraine, au kwasababu shida za wakenya haziwezi kuwapa umaarufu katika majukwaa ya kimataifa?
Tony254
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app