Wakati wa familia kukutana ndio wakati bora zaidi maishani..

miss pablo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
5,411
Reaction score
11,025
Kiukweli kabisa inauma kukosa fursa kama hii ya kujumuika na familia. Ni wakati wa kujumuika na kujichunguza umepiga hatua gani katika maisha na kusahihisha pale ulipokosea. Akili inakua imetulia kabisaa.
Nawaonea sana wivu waliobahatika kwenda mikoani. Warombo wenzangu mutuwakilishe vyema huko. Tunajua nauli ya kurudi mjini haikosekaniki kabisa[emoji23][emoji23] mkikata mikungu miwili ama mitatu nauli tayari ya kurudi mjini.
Sisi tumeona tubaki tunauza uza bwana tukifunga wote maduka wazaramo watakosa huduma. Zaidi namiss parokiani kwetu mkuu na kona zile za kutoka marangu mtoni, umkuu, mashati, usseri mpaka tarakea. Nitawamiss machalii wangu wa ara na moh town kwa ujumla.

Niwatakie heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya wanakaskazini wote na wanajamii media kwa ujumla.

With love... Pendo
 
yaan mungejua munavyoniumiza mimi jamanii, unajua ile feeling unaongea kwa kucheka ila maumivu ya moyo yalivyo makali?
that's the feeling darling, haahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jikaze jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jikaze jamani
hahahahah kwa kweli. yaan kwenye manews feedni alerts tuu mara mambuzi, mara mbege, mara mibia yaan..
siyo whatsup, fb wala insta kote wanatusumbua tuu.
 
Tatizo kuja chap ndo issue. Mimi mpaka muda huu niko Dar nahangaika na usafiri [emoji23]
oooh, hv kwann uteseke, fanya hv, chukua costa mpaka mombo ama pale ama korogwe, ukifika pale kuna zingine unapanda mpaka hata njia panda. mm hata sasa hivi nikitaka kupanda naenda vizuri tuu, nakushauri panda wa kuunga unga kama budge yako inaruhusu
 
Achana na hizo public buses hutafika tafuta kausafiri binafsi tu hata lift hahahahahahahahahah
Hizo za lift nilitafuta moja tu nikapata la kuondoka jumamosi. Nikampa mtu seat yangu baada ya kuahidiwa kuna gari jana. Sasa hiyo lift ya jana shoga ndo mpaka leo nipo mjini. Kuna mtu ananitafutia lakini. Inshallah kesho nitasafiri
 
Mamsera hapa ndugu...karibu mbege halafu kuna ndizi nzuri za mshare hapa hahahahahahahahahah
hahahahah hapo mbuzi kama zotee, mamsera nawakubali hapo tuu, aisee next season if God grants us ntakuja usijali.
karibu mkuu na tarakea ndo maskani
 
Ila ni kweli kipindi hiki cha sikukuu Costa zinakuwepo za kutosha tu sema kam hapendi safari za kuunga atapata shda maana huwa zinachosha....ila kuna Costa ambazo huwa zinafanya safari kati ya Rombo na dar kipind cha Christmas kama hiv
hahahahah namshauri aungeunge atafika tuu asiwe mwoga ilimradi pesa ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…