Mentor we kama unataka kuambiwa uendelee kuhangaika nakwambia MENTOR MFUATILIE MPAKA UMRUDISHE MIKONONI MWAKO.Jana alikupima na mimba ukapata presha ya dakika...leo anakupima kwa kukwambia penzi limehama kwa muda...kesho na kesho kutwa atakapokuja kukwambia mtoto "wenu" sio wako utapata BP ya kweli ai hata uzime kabisa sijui atakwambiaje ilikua utani.Kama kweli anachofanya ni utani she needs to GROW UP.Hata akirudi akakwambia alikua anakutania tu inabidi na wewe umwonyeshe uanaume wako...mwambie kwamba hajamature na huo mchezo wa kurushana roho kila siku utajaishia pabaya.Mwambie unampa muda AKUE akishakua ndo aje muendelee.Kumpenda isiwe sababu ya wewe kufanywa mjinga bwana....!
Babu anatafakari, maneno kuyashikia,
Mistari kukariri, ujumbe kuupatia,
Japo bado anakiri, ukweli hajaujua...
Mento hii ni hadithi, au kweli watwambia?
Kama ni kweli ntalia,
Sitoweza vumilia,
Ubaya lokufanyia,
Kamwe hauvumiliki.
Unyama gani jamani,
Umejiri mapenzini,
Kuumizana moyoni,
Kamwe hakuvumiliki.
Kusema ukweli wengine wapigane tu....mimi simo.Btw, na wewe pia unaungana na Mokoyo hapo juu kwamba there is never a time for fighting for love!??
Kusema ukweli wengine wapigane tu....mimi simo.
Mwj1....😛ray:...Forget the bite, I sing for you;
♫ nalia kwa furaha:A S-heart-2: Klynn ft Bushoke ♫
Mbu, nilinogewa na wimbo, nikasahau the bite...inauma kaka!!!
....gone bad!Good gal!
....gone bad!
Kusema ukweli wengine wapigane tu....mimi simo.
Not yet but SOON ....!...then wild?
Not yet but SOON ....!
Mapenzi haya ya mbali, usiyatie manani,Babu kweli metokea, japo sikusitahili
mjukuu meumia, moyo pingilipingili
binti niliyempenda, kapata bwana mwingine
kisa mimi niko mbali, sijui mimi genuine!
NN:
ningependa mchango wako ila nina wasiwasi utafanana na wa dada Lizy...
Sipo tayari mkuu,
my dream married life is not that way...haiko hivyo kabisa!\
I guess nimekupata mkuu.
Vipi na wewe, would you fight for love?