Wakati wa kuacha na wakati wa kushikilia....nataka jibu

uncle Jei Jei..pole sana mkubwa!ghafla umenifanya nijihisi langu ni dogo..DAMN!These female specie, sijui wanataka nini?!!
tatizo kizazi hiki wasichana wanaona ufahali kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja! Wengi (NOTE: SIO WOTE) wanakaa na kushauliana ujinga! Ladies....surely their supposed to turn back!there are not even fear on GOD while HIV and unrespect to ones' feelings take it as small issue!
 
You said it all Lizzy. Asirudi tu kutulilia tena hapa.
 
Sema watu wengi kwasababu wote wanaume na wanawake siku hizi kutulia na mtu mmoja ndo wanaona ushamba.
 
You said it all Lizzy. Asirudi tu kutulilia tena hapa.

Hahha..Ennie, nimeacha mkubwa...yani sasa hivi najisikia nafuu ajabu.
THANK YOU ALL GREAT THINKERS....
 
Naunga mkono mia ya mia...............lengo la kitu chochote katika maisha ni kuifurahisha nafsi na kuwa na furaha ya kweli(true happiness)kama unakumbana na kitu ambacho ni kinyume na muisho huo its better you let it go...............

Thank you...mambo ya kupigania penzi ambalo linaweza kua hata halipo sitaki.
 
Perception is ones preception, i agree with you but um open to agree to dis agree when we have divergent views
Great...I thought you were one of those people who are always tryanna impose their perception on others.
 
Great...I thought you were one of those people who are always tryanna impose their perception on others.

Look at you using big words and shit…tryna sound important. Better stay in your lane or else I'll have to cut you down to size....
 
Look at you using big words and shit…tryna sound important. Better stay in your lane or else I'll have to cut you down to size....
Ohhh come on now...just admit that you love me so much you can not stay away from my posts
 
Mi nimechelewa kupost ila sidhani kama nimechelewa kuchangia. Kwanza nakupa pole kwa kilichokutokea. Pili nawaunga mkono wote waliokuambia uachane nae.
Juwa kuwa kikuepukacho kina heri na ww. Lkn kwa sasa huwezi kuijuwa heri yenyewe ni ila kadri utavyokaa ndiyo utakavyogundua eidha kwa kuujua undani wake huyo aliyekupiga kibuti au kumpata mwengine aliyebora kuliko yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…