Wakati wa kuchimba dawa safarini

Lume

Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Imekuwa ni kawaida wakati wa safari ndefu, dereva anasimamisha basi porini ili abiria wachimbe dawa.
Sasa siku moja nilikuwa nasafiri. Tulipofika kwenye kuchimba dawa, nikasikia katoto ka kiume kanamwambia mama mmoja:-
'Mama naomba unikojoze',! yule mama akamvua yule mtoto kaptula ili akojoe, then yule mama akasema 'hee! Kumbe mtu mzima' nilidhani mtoto!. (Yaani mama alikuwa anashangaa jinsi mtoto alivyo jaaliwa shaft)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…