Jambo wapendwa
Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako?
Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha nimefumba macho kuskilizia majamboz, Kufungua macho yangu Dah, nakuta tu kanikodolea mimacho.....Kanikata stimu kishenzi yani.
Nawasilisha.
.not for public consumption... kila mtu ana style yake binafsi
Jambo wapendwa
Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako?
Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha nimefumba macho kuskilizia majamboz, Kufungua macho yangu Dah, nakuta tu kanikodolea mimacho.....Kanikata stimu kishenzi yani.
Nawasilisha.
.
Tatizo hiki kiselula hakina kitufe cha like. But SI unit triple like your coment budy!
wewe ni male au female?.....
Bazazi hupendelea kufumbua macho ili amuone mpendwa wake anavyobadilikibadilika kulingana na utamu anaopata. Hii hunisaidia kujua wapi niguse na kwanini, niongeze kasi au nipunguze; niingie zaidi au nitoke kidogo; Nizunguke au nichimbe. Pia hunisaidia kujua anakaribia kufika Gilman Point au bado. Macho ni nguvu yangu na silaha ya maangamizi kunako uwanja wa serimala.
Inabidi serikali iliyopo madarakani iwajibike, yaani unakodolewa mimacho hivi hivi... serikali iko imelala tu au iko wapi?