ABDUL JIRANI Senior Member Joined Jul 20, 2013 Posts 176 Reaction score 52 Jan 5, 2015 #1 Wakati wa tendo la ndoa nikiwahi mshindo wa kwanza(kumwaga), la pili sipati mpaka nikojoe mkojo na mengine yanayofuata Naomba ufafanuzi hali hii inasbabishwa na nini na nini tiba yake
Wakati wa tendo la ndoa nikiwahi mshindo wa kwanza(kumwaga), la pili sipati mpaka nikojoe mkojo na mengine yanayofuata Naomba ufafanuzi hali hii inasbabishwa na nini na nini tiba yake
K kimbisi mbisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 508 Reaction score 132 Jan 6, 2015 #2 Duh, ngoja waje wataalamu.