Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
KUNA KIPINDI CHA KUWAKABIDHI UPINZANI NCHI HII LAKINI SIO SASA.
Na Thadei Ole Mushi.
Mwaka 2014 Nchi za Kenya na India ziliipita kwa mbali Tanzania kwa kusafirisha na kuuza katika soko la dunia madini ya tanzanite ambayo yanapatikana hapa nchini pekee.
Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini kwa wakati huo , Mhandisi Paul Masanja aliwaambia waandishi wa habari kwamba kwa mwaka 2013, Tanzania haikufikia hata nusu ya Kenya kwa mauzo ya madini hayo ya vito.
Kamishna Masanja alisema mwaka 2013 pekee, Kenya ilisafirisha na kuuza nje ya nchi tanzanite yenye thamani ya zaidi ya Dola 100 milioni za Marekani (Sh173 bilioni) dhidi ya Dola 38 milioni (Sh45.5 bilioni) zilizouzwa na Tanzania.
"Katika kipindi hicho cha mwaka Cha mwaka 2013, India iliuza tanzanite zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani 300 milioni (Sh509 bilioni) kiasi cha baadhi ya wanunuzi wakubwa, hasa kutoka Marekani kujiuliza iwapo madini hayo yanachimbwa India," alisema Masanja.
Bila kumtaja jina, Kamishna huyo alisema mmoja wa wanunuzi wakubwa wa madini ya vito kutoka nchini Marekani aliwahi kumuuliza iwapo kuna migodi ya Tanzanite India kwa sababu akifika huko hupata Tanzanite bora na zenye ukubwa kuliko anayopata Tanzania.
Mwaka 2016 Marc Nkwame, Mwandishi Tanzania Daily News aliripoti kuwa Kenya iliuza tena madini ya Tanzanite njee ya mipaka yake yenye Thamani ya Dola milioni Mia Moja huku India ikifikia dola milioni 300 na Tanzania ambaye ndiye mwenye machimbo akiuza madini ya Dola million thelathini na nane tu.
Ujenzi wa ukuta wa MERERANI umekuwa shubiri kwa Kenya na India Kwani sasa wamebaki wakitizama show ya uuzaji wa madini moja kwa moja pale Merereni na Tanzania Sasa ndio inayoongoza kwa uuazaji wa madini haya ndani na nje ya nchi fuatilia link ifuatayo kuona yaliyokuwa yakiendelee kwenye sector ya madini.
Efforts to curb tanzanite smuggling make Tanzania shine - ENACT Africa
Huenda yaliwahi kupatikana mawe Mengine Makubwa zaidi ya haya lakini yalikuwa hayaonekani na Wala yalikuwa hayaliingizii Taifa kipato. Mtaelewa tu kwa nini Kuna vuguvugu Kati yetu na Jirani.
Jana wizara ya madini kupitia Waziri wake Mh Dotto Biteko alitoa statistics kuwa mapato kwenye Sector ya madini Hadi kufikia 2015 yakikuwa bilioni 168 kwa mwaka lakini Sasa mwaka 2020 sector ya madini pekee inaliingizia Taifa shilingi bilioni 528 kwa mwaka.
Waziri Biteko pia alisema Jana kuwa kwa Sasa sector ya madini imefanikiwa Kuzalisha madini ya Almas karate 402,720 uzalishaji huu ulivunja rekodi iliyowahi kuwekwa kipindi Cha Baba wa Taifa mwaka 1977 ambapo kipindi hicho walifanikiwa Kuzalisha karate 370,000.
Uzalishaji wa Tanzanite wa Tanzanite kwa Sasa umeongezeka Mara Dufu baada ya ujenzi wa ukuta wa mererani. Kabla ya hapo tuliweza Kuzalisha kilo 312 zenye Thamani ya bilion 4.1 lakini ndani ya mwaka mmoja baada ya ukuta huo kujengwa zimepatikana kilo 2,772 zenye Thamani ya shilingi bilioni 30.075.
Wanaoelewa wanajua kwa Nini wanafikiria kumwongezea Muda JPM wanaojua haya na mengineyo mengi wanaelewa kwa nn Kura yao itakwenda kwa JPM.
Ni mjinga tu anayeweza kubeza haya yaliyofanyika kwa Muda mfupi. Wakati mkibeza hapa Jirani aliyekuwa ananufaika na Madini yetu analia haswa na wanatamani JPM aondoke madarakani.
Sisi wazalendo tunasema bado mitano Tena. Tanzania haiwezi kufanywa Kama Congo kamwe.
Kwa sasa tuna mtu mwenye Uthubutu wa kufanya Mambo makubwa mengi, pamoja na Makosa ya hapa na pale lakini unaiona Tanzania ikiichora Ramani yake ya kuwa Taifa kubwa na la kuheshimika Duniani. Tumwache Kwanza atutengenezee nchi. Wakati wa Upinzani utakuja lakini sio kwa Sasa.
Fuatilieni mijadala kwa Jirani Kwenye TV zao kuhusu JPM wao wameshaonyesha mapenzi yao wazi wazi kuwa hawataki JPM arudi madarakani Tena. Nafikiri mmeshaona na baadhi ya clip wakiikosoa tume yetu ya uchaguzi Sana. Kweli jirani ana mapenzi mema kiasi hicho Cha kutuchagulia Rais?.
Ole Mushi
0712702602