Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana

Huyu ni kama Bashiru sasa hivi au pole pole mzee wa vieitee
 
Wacha ulevi wewe jasili wa taabu na shida hapa duniani.
Kwani tangu Tanzania tupate uhuru tumetawaliwa na chama tofauti ya Tanu/ccm?
 
Wewe mwenyewe ni MATAGA ambao kwao kuwadhuru wenzao ni sawa na kuhesabu moja mbili tatu
 
Unapokuwa mpambe wa kiongozi wa Nchi then akawa na visasi dhidi ya watu,kitu salama ni kuwekeza nje ya Nchi.
Kiongozi ambaye ni rafiki yako akitoka madarakani hata kama uwe na pesa kiasi gani kufilisika ni swala la muda tu.
Kinachofanyika accounts zote benki zinakamatwa,pesa unaiona ila kuitoa huwezi na mwisho wa siku inataifishwa kabisa unabaki na assets pekee. Sasa hapo na penyewe wakikuamulia wanakuminya kimya kimya. Kama una majumba unaweza kuta zote zinashikiliwa haupangishi wala hauuzi wanakuachia nyumba unayoishi tu ndio unakuwa na uhuru nayo,mwisho wa siku hata unayoishi maisha yanakupiga unaiuza then pesa unatumia inakwisha tayari unakuwa MACKMUGA
 
Nimekuja speed sana nikifikiri ya kuwa unamzungumzia yule MOBUTU SESESEKO wa Tanzania ambae amefukiwa jana.
 
Mataokoteza sana viuchafu uchafu vyote,!

Lisu hawi rais abadan
Awe yeye au asiwe yeye lakin siku moja CCM watatoka tu madarakani..labda kama wao ndo Mungu wa dunia hii
Miaka 200 ijayo ccm itatoka madarakani
Wewe sio Mungu..hata huyo uliekuwa unategemea atamaliza mitano halaf aongezewe mingine atake asitake Yuko wapi..uliza funza
 
Mmh
 
21 Jul 2015
NICE FRANCE

ONE OF MANY PROPERTIES OWNED BY FORMER ZAIREAN PRESIDENT MOBUTU


This opulent pink villa on France's southern coast belongs to the former President Mobutu Sese Seko.

Mobutu is thought to have amassed a personal fortune of 5 (b) billion U-S dollars during his 32-year dictatorship. It is just one of many properties owned by the autocratic ruler around the world.

Mobutu did spent more time at his palatial homes in Switzerland and the French Riviera than in Zaire's capital.

Source : AP ARCHIVE
 
Umetoa Habari yenye funzo zuri lakini umeharibu mwishoni Ulikomalizia.
Ungemalizia na Magufuli anatosha ingekuwa vizuri sana
Mkuu usipende kila mtu ayakubali mawazo yako maana haitakuja kutokea ktk dunia tuliyo nayo.

Tujenge utamaduni wa kuvumiliana na kukosoana bila kukwazana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…