GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila siku huwa nasema hapa na nitazidi kusema kuwa kama nchi za Afrika ambazo zimebarikiwa kupata Marais wazuri na ' waliobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu na kama Wananchi wa hizo nchi wakiwatumia vizuri na kuwasikiliza basi ' Maendeleo ' yao yatakuwa ni ya haraka basi ni nchi za Uganda ( Rais Museveni ), Rwanda ( Rais Kagame ) na Tanzania ( Rais Dkt. Magufuli )
Wakati Waafrika wachache ' wasiojielewa ' wakiongozwa na Msanii Boby Wine na ' Wanaharakati ' wengine sehemu mbalimbali Duniani wakimsema vibaya na ' Kumnanga ' Rais wa Uganda Yoweri Museveni jana Ujumbe ' Maalum ' kutoka Umoja wa Ulaya ( EU ) umempongeza sana Rais Museveni kwa kuwa Rais pekee ambaye anadumisha Amani katika Ukanda huu, mchochezi mzuri wa Maendeleo na Biashara lakini pia ni ' Mkarimu ' mno dhidi ya Wakimbizi.
Ukiona hadi Mzungu anakukubali jua hata Mwenyezi Mungu nae ameshakukubali. Na ukiona GENTAMYCINE anakukubali jua ya kwamba hata ' Great Thinkers ' wote duniani nao wamekukubali. Ndiyo maana nasema kuwa katika Dunia hii bado sijaona Viongozi ninaowakubali kwa 100% kama hawa wafuatao...
1. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
2. Rais wa Urusi Vladmir Putin
3. Rais wa Uganda Yoweri Museveni
4. Rais wa Rwanda Paul Kagame
5. Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli
Ukimchukia Rais Museveni lazima utakuwa tu na matatizo ya akili kwani huyu ndiye Rais ambaye ameikomboa Uganda toka kwa ' Wahuni ' mwaka 1986 na ameibadilisha nchi ya Uganda hadi hivi sasa imekuwa kweli ni ' Pearl of Africa ' na sasa ina maendeleo makubwa mno ambayo mengine ni ya Kuigwa na nchi zingine.
Nawasilisha.
Source: SpyReports UG