Maswali magumu haya hapa: Kama ccm kupitia tume watanzania wameachwa bila kundikishwa nini kifanyike?
Ukawa ikishinda akatangazwa mshindi wa ccm ktk majimbo na urais nini kifanyike? Ccm walishazoea aina hii ya ushindi.....
Ccm hawako tayari kuachia nchi hii kwa amani. Nilisikia IGP anaongea kukutana na viongozi wa vyama....muulizeni maswzli hayo...mpeni mpango B.....mahakamani hatuendi....waende wao this time aroundi.....hawatafanya mambo kipuuzi...kama wanavyofanya bungeni...watumie jeshi la polisi kutangaza,matokeo hati tuwaachie kwa woga wa amani...sote ni wadau wa amani...wakivuruga ijulikane wamevuruga wao.