Elections 2015 Wakati wakiwa hawana uhakika Dodoma, UKAWA wajipanga Dar es Salaam

Hao ndio ahueni yetu CCM, kwani wakisimamishwa tutapata a landslide win.

Lakini wakimsimamisha Makaidi basi itakuwa vigumu sana CCM kushinda!

Mkuu, hapo umemvua nguo. Itabidi achutame kama akili yake bado ina kilobytes kadhaa
 
Tumaini la Watanzania liko hapo .... Mungu ibariki Tanzania ...
 
Dah hapa tulikuwa na hope kuu lakn bwana mamvi aliharibu kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…