Wakati Watanzania ‘ tukijidanganya ‘ kwamba Wachezaji wetu wa Serengeti Boys ni wazuri ‘ Mawakala ‘ bado hawajaona anayefaa.

Hujui mpira ww, tutakutana j5 mkuu Uganda atakalishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sanchez naye kaaminiwa na nani?
Mbona wote uliowataja wametemwa na wazungu na wakaenda kuaminiwa na wazungu? Au kuna yeyote alikuja kucheza Africa!!!!

WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
kuna wazungu weupe kuanzia ngozi hadi akili...

Sent usingJamii Forums mobile app
 
nilitegemea utatujuza ktk hiyo mechi mbali na kipa wa tz ni wachezaji gani wengine walioonekana wanaucheza na kuujua mpira ktk timu pinzani. kwa mimi naona umewakosoa waandishi wa habari za michezo wa tanzania na kwa hilo nami nakusapoti ila mawakala nao ni kama sisi tuu tuna mitazamo yetu kwa kila tukitakacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mantiki hiyo Mkuu hata CEFTRIAXONE ni mzuri kwenye kulijua na kulichambua soka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hao wazungu wako wameshindwa kuona uwezo mkubwa wa yule dogo namba 10 wa Serngeti boys anaitwa Kelvin John, basi wana matatizo ya macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui mpira ww, tutakutana j5 mkuu Uganda atakalishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
imkuu kwa mpira upi, huu wakupewa tuta nje ya 18 na bado wanatuchakaza kuwa sirias kidogo bas. uganda wanacheza mpira wa nguvu na speed kuliko sisi. kuamini tutawafunga uganda ni sawa na mikia walivyo amini Tp wameisha watapita kirahisi kilicho wakuta walichakaa vibaya sana.
 
Umeongea kama mke wa hao mawakala au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo wa Benjamin mkapa alikuwa goal keeper wa combain ya dar umiseta anaitwa mamba ni copy na manuer nuer kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mawakala uchwara hao kwamba hata hawakumuona kindoki mdogo.

kuna dogo kelvini na Ngoda wale vijna wanajitahidi, sema mikia washatia gundu hadi kwa madogo ko nimwendo wa kuchakazwa tu
Mmeolewa na mazembe acheni kusaka vidumu.
Nasikia kidumu Lipuli ndio mtakuwa mnampa mambo!?
Mnyama atawabaka tu ikibidi kwenda jela poyelea mbali
 
mawakala uchwara hao kwamba hata hawakumuona kindoki mdogo.

kuna dogo kelvini na Ngoda wale vijna wanajitahidi, sema mikia washatia gundu hadi kwa madogo ko nimwendo wa kuchakazwa tu
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mwalimu kashasha mimi naamini anajua Mpira kuliko huyo wakala au sisi wote hapa. Maana ni Coach wa kusomea . amesifia madogo na kama sio uzembe wa kipa Nigeria Angelala jana. Bila kuupizia timu za west Africa wana tabia ya kuweka vijeba ( kudanganya umri) . Kwakifupi kuna baadhi ya vijana wanatakuwa wakimbizwe ulaya haraka. Ningependa waende Real Madrid au Barcelona youth teams au Ajax au English premier youth teams
 
wewe lengo lako tujue kuwa jana uliongea na mzungu haya tushajua ....shubamit na uchambuzi wako uchwara
 
Wachezaji takataka? Unapoteza mantiki ya vyote ulivyooandika. Umekosa neno lolote hadi utumie lugha ya kuudhi kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…