Wakati Watanzania ‘ tukijidanganya ‘ kwamba Wachezaji wetu wa Serengeti Boys ni wazuri ‘ Mawakala ‘ bado hawajaona anayefaa.

Hayo matumaini ya mdomoni ndio huwa yanatuaminisha tofauti na uhalisia, wewe una mpira gani wa kumfunga uganda au angola? Tuache kupeana matumaini, mpira ni uwezo kwanza tumeingia kama waandaaji tu lakini hao wenzetu wamepigania hizo nafasi hadi kufuzu!! Kwanini hatutaki kukubali uwezo wa wenzetu!! Kwenye tp mazembe watu walisema jamani tukubali wale wanatuzidi, anaibuka mtu eti tp mazembe ilikuwa ile ya kina samata!!! Baada ya kipingo ohhh, jamaa wako juu ki uwezo!! Ukiangalia mpira wa uganda na angola wa jana unaona kabisa ni watu wanaojua nini wanafanya!!! KUTANA NA TIMU BORA NDIO UTAJUA UBORA WAKO
 
Saa nyingine naona tunatumia nguvu nyingi na fedha nyingi kujiaminisha kuwa tunaweza soka lakini kiukweli hatuwezi. Kuwa na wachezaji kama sammata na msuva bado sii garantee lakini hata maombu ya wachezaji wetu hawna sifa za kimataifa
 
Saa nyingine naona tunatumia nguvu nyingi na fedha nyingi kujiaminisha kuwa tunaweza soka lakini kiukweli hatuwezi. Kuwa na wachezaji kama sammata na msuva bado sii garantee lakini hata maombu ya wachezaji wetu hawna sifa za kimataifa
Zambia walichukua AFCON na Hawa wakina Kalaba. . NIGERIA walichukua AFCON na local players wakina Musa.. Tuache uwoga
 
Serengeti wanahitaji kuwafunga Uganda tu j5 Hiyo ndio mechi muhimu kwao. Angola atafungwa nyingi zaidi na Nigeria hivyo sisi tutahitaji draw tu tukikutane naye mechi ya mwisho.

Hili kundi tunapita na world ndio tushaingia tunatambau kuna watanzania hawaamini uzuri wowote wa chochote kutoka Tanzania ila ndio hivyo sasa tunapita na World Cup ya vijana tunaingia.
 
Huyo Angola alikula kichapo na hao Serengeti boys kwenye COSAFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mawakala wamesha mkubali tayari. Aliyekua wakala wa Etoo yupo bongo amesema amemkubali toka alivyo muona uturuki mpaka aka mwita "the new Etoo". Kama wazungu mbona amefaulu trials huko Denmark

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Serengeti boys ni mabingwa wa cosafa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ata sikuelewagi. Ww utakuwa msomali bila shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wao ni mawakala ambao wamebase kwenye professionalism maana wakichukua mabua hawatapata pesa so lazima watumie vigezo vinavyohitajika kwa umakini sio sisi tunaosifia ilimradi liende
 
hawa ni vijana under17 si sahihi kuwaangalia kwa jicho sawa na lile linalowaangalia hazard, salah coutinho. Bado wananafasi kubwa ya kurekebishwa kiufundi na kuwa na ushindani kama hao mawakala walivyong'amua. Kikubwa mpk sasa wanamuunganiko mzuri kama team, na hakuna tofauti yao na wale vijana wa Nigeria mpk ngazi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema hao madogo watachakazwa tu hawana mpira wa maana ila kelele kama nyau fc
 
Nilichokiona tatizo kubwa kwa vijana ni tamaa ya haraka ya maendeleo,ubinafsi umewajaa uwanjani kisa wanajua kuna mawakala wanawaangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…