OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu.
Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na kuwashawishi wanunue kadi za uanachama.
Azam mgekuwa mnawanywesha na kuwalisha mashabiki zenu hata juisi na ndazi mgepungukiwa nini huku mikoani?
Watu wanapenda kula nyinyi mpompo tu.
Popati fukuza hao watu weka watu wa marketing wakusaidie uepuke aibu ya kukosa mashabiki hapo hapo chamanzi kwenye mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote.
Nawasilisha