OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hata hiyo ni njia nzuri mkuuazam malengo yake si wanachama bali kutangaza bidha za azam ndugu
kwani wamekwambia mauzo yao yako chini..pengine wateja wamewazidiHata hiyo ni njia nzuri mkuu
Unatangaza bidhaa za azam huku mwanza na Bariadi ni juisi za jambo azam anapumulia mashine
Wakitangaza kuna supu huku kwa wasukuma nakuhakikishia kirumba itajaa mpaka kwenye korido
Unapomshawishi mtu wa mikoani tmia akili ndogo tu
Huwezi kuwa mwanachama bila kuwa shabiki nduguTimu zinakuwa na wanachama au mashabiki??
Sio kila timu lazima iwe na wanachama, nyingine huwa za wamiliki. By the way timu za wanachama huwa ni ngumu kufanya management maana wajuaji ni wengi na kila mmoja anajiona ana haki kisa amelipia kadi. Wanachama wenyewe ndio hao, kuwashawishi hadi uweke supu!Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu.
Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na kuwashawishi wanunue kadi za uanachama
Azam mgekuwa mnawanywesha na kuwalisha mashabiki zenu hata juisi na ndazi mgepungukiwa nini huku mikoani?
Watu eanapenda kula nyinyi mpompo tu
Popati fukuza hao watu weka watu wa marketing wakusaidie uepuke aibu ya kukosa mashabiki hapo hapo chamanzi kwenye mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote
Nawasilisha
Nikikupa pesa nikakuambia ukalete juisi ya azam unaweza kutembea jiji zima mkuukwani wamekwambia mauzo yao yako chini..pengine wateja wamewazidi
Timu inacheza mechi za klabu bingwa kwenye uwanja wake uwanja mweupe peeSio kila timu lazima iwe na wanachama, nyingine huwa za wamiliki. By the way timu za wanachama huwa ni ngumu kufanya management maana wajuaji ni wengi na kila mmoja anajiona ana haki kisa amelipia kadi. Wanachama wenyewe ndio hao, kuwashawishi hadi uweke supu!
ndio bishara ilivyo huwezi kuweka ukiritimba wa kutaka kushika soko la nchi nzimaNikikupa pesa nikakuambia ukalete juisi ya azam unaweza kutembea jiji zima mkuu
πππππYanga waambie tu kuna supu ya bure utakutana na mtu hadi anaulizia kichwa cha ng'ombe kimepelekwa wapi, ila waambie wanunue ticket huoni hata mmoja
Kwa hapa bongo haitatokea timu zingine kuwa na fanbase au brand kubwa sawa na yanga na simba.Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu.
Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na kuwashawishi wanunue kadi za uanachama.
Azam mgekuwa mnawanywesha na kuwalisha mashabiki zenu hata juisi na ndazi mgepungukiwa nini huku mikoani?
Watu wanapenda kula nyinyi mpompo tu.
Popati fukuza hao watu weka watu wa marketing wakusaidie uepuke aibu ya kukosa mashabiki hapo hapo chamanzi kwenye mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote.
Nawasilisha
LAbda huko Azam alete matasha ya tivoli ndio atapata Mashabiki wakumwaga vinginevyo ni uongo.Hata hiyo ni njia nzuri mkuu
Unatangaza bidhaa za azam huku mwanza na Bariadi ni juisi za jambo azam anapumulia mashine
Wakitangaza kuna supu huku kwa wasukuma nakuhakikishia kirumba itajaa mpaka kwenye korido
Unapomshawishi mtu wa mikoani tmia akili ndogo tu
Kwani Azam ni timu ya Wanavhama? Au mnataka mjipenyeze kijanja kwa Bakhresa ili muanze kufai urithi?Azam haina mashabiki kwa sababu waliopewa idara ya uhamasishaji wanajali mishahara zaidi kuliko klabu.
Licha ya Yanga kuwa na mafanikio lakini wanatumia njia nyepesi ya kuwalisha supu watu na kuwashawishi wanunue kadi za uanachama.
Azam mgekuwa mnawanywesha na kuwalisha mashabiki zenu hata juisi na ndazi mgepungukiwa nini huku mikoani?
Watu wanapenda kula nyinyi mpompo tu.
Popati fukuza hao watu weka watu wa marketing wakusaidie uepuke aibu ya kukosa mashabiki hapo hapo chamanzi kwenye mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote.
Nawasilisha
Jambo anatawala kanda ya ziwa ila bidhaa za Azam zipo.Nikikupa pesa nikakuambia ukalete juisi ya azam unaweza kutembea jiji zima mkuu