Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakale wapiiiiii sasa, na hapo ndo kamba yao ilipo??Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji,Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji.Hii hajakaa sawa kabisa wahusiaka fuatilieni vituoni kutatua kero hii.
Hao ni majambazi wakubwa na inajulikana sema wanachekewa tu. Nahisi hako ni ka mnyororo ka wakubwa wengi. Hasa hasa kituo cha ferry ndio balaa.... na hivi vya katikakati nyakati za usiku kama pale ubungo maji...Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji,Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji.Hii hajakaa sawa kabisa wahusiaka fuatilieni vituoni kutatua kero hii.
Bila kupasahau KIMARA MWISHOHao ni majambazi wakubwa na inajulikana sema wanachekewa tu. Nahisi hako ni ka mnyororo ka wakubwa wengi. Hasa hasa kituo cha ferry ndio balaa.... na hivi vya katikakati nyakati za usiku kama pale ubungo maji...
Wanakula kwa urefu wa kamba yao.Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji,Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji.Hii hajakaa sawa kabisa wahusiaka fuatilieni vituoni kutatua kero hii.