Wakatoliki, hiki ni nini kinachofanyika hapa?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ni kitu gani kinachofanyika hapa?

Kwa nini Yesu ni mzungu?

Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?

Your browser is not able to display this video.
 
Sijui ila kwa akili zako za kuvukia barabara anaweza akakwambia wanaiabudu sanamu maana akili zako na zake hazipishani atakwambia kugombania kulishika jiwe la Shetani na kulirushia mawe sio ibada ya sanamu?
Kwa hiyo unasemaje sasa, kinachofanyika hapo ni ibada ya sanamu kama vile kurusha jiwe unaona ni ibada ya sanamu? Kama kurusha jiwe ni ibada ya sanamu kunahalalishaje kukiramba hicho kisanamu?

Kumbuka pia, kuramba kisanamu kulianza kabla ya kurusha jiwe.
 

Ukiwa na uelewa mdogo kama huu ulio nao kwenye masuala ukristo, utaona ni ibada ya sanamu, kwasababu hujui maana ya ibada, hujui maana ya sanamu, na hujui chochote kuhusu ukristo.
Kwa sababu hujui hayo yote, utaona wakristo wote, toka mitume hadi sasa, wanafanya ibada ya sanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…