Wewe ndiye mtupu kabisa, ni zero kabisa katika historia ya Ukristo. Hujui chochote!!Ukristo uliingia Roma karne ya nne baada ya Mtawala wa Roma Constantine kukubali kuwa Mkristo na kuifanya dini ya Kikristo kuwa dini ya taifa, na kuieneza kwa lazima katika milki yake yote. Kabla ya hapo Roma waliua na kunyanyasa Wakristo, kuwatumia kwenye michezo kwa kuwapambanisha na wanyama wakali kama simba nk. Hata Yesu mwenyewe aliuwawa na askari wa Roma, sio Wayahudi kama wengi wanavyodhani. Waliompigilia misumari na kumtundika ni askari wa Roma, Wayahudi walishabikia tu kwa kelele. Malmala ya kukataa Yesu asiuwawe au kusulubiwa yalikuwa kwa Waroma.
Sasa wengine watakuaje waasi dhidi ya Romans Catholics wakati Waroma ndio walikuwa wauaji wa wakristo kisha "wakaokoka"?
Unajua wewe unaanika ujinga wako humu wakati hujui kitu. Mie hata sielewi ulichoandika nikitu gani. Utumbo mtupu. Unapayuka blablablabla wala hueleweki unachosema au kubisha, kama taahira fulani hivi. Mie sio ligi yako mjinga wewe.Wewe
Wewe ndiye mtupu kabisa, ni zero kabisa katika historia ya Ukristo. Hujui chochote!!
Unafahamu mtume Petro aliuawa akiwa wapi? Unajua mtume Paulo aliuawa wapi? Unajua mtakatifu Ignatius aliuawa akiwa wapi? Petro, Paulo na Ignatius askofu mkuu wa kanisa la Antiokia walikuwepo karne ya 4? Unafahamu mauaji makuu ya wakristo Roma yalitokea mwaka gani, na ni wakati wa utawala wa nani?
Mnalishwa upuuzi, nanyi mnabeba huo upuuzi kama vile hamna akili ya kujiuliza kama mnachoambiwa kina mantiki.
Yaani wakristo zaidi ya elfu 2 wauawe Roma, wakati wa karne ya 1, Petro auwe Roma mwaka 64, Paulo auwe Roma mwaka 67, wakati wa utawala wa Emperor Nero, halafu ukristo uingie Roma karne ya 4! Wewe nawe unajihesabia unajua historia ya ukristo? Hopeless kabisa!! Wewe unajua Emperor Constantin the great alikuwa ni mfalme wa ngapi toka mfalme Nero? Wewe kama una elimu, basi itakuwa ni kwenye mambo mengine, lakini kwenye historia ya ukristo, wewe una zero understanding. Na huenda aliyekufundisha alikuwa mjinga kuliko wewe kwenye masuala ya ukristo, matokeo yake akakurithisha ujinga wake.
Soma angalao hii tu, halafu jihukumu kwa ujinga wako:
Did Nero burn Rome and blame Christians?
A devastating fire breaks out in Rome in 64 AD. According to the historian Tacitus, the Romans think Nero started the fire. To shift the blame, the Emperor accuses the Christians and opens the first in a long series of Christian persecutions. The victims are crucified, burned and fed to the dogs.
Emperor Nero ruled Rome from October 13, 54 AD, to June 9, 68 AD. As the fifth and final emperor of the Julio-Claudian dynasty, he took power at age 16 following the death of his adoptive father, Claudius, and ruled for nearly 14 years before committing suicide at age 30.
Emperor Nero is credited with ordering the martyrdom of Saint Peter and Saint Paul in Rome, between 64 and 67 AD. Following the Great Fire of Rome in 64 AD, Nero blamed Christians to deflect blame, leading to a brutal persecution where Peter was crucified upside-down and Paul, a Roman citizen, was beheaded
In short, mnaalikwa mkaabudu sanamu,ambayo mnaipa utukufu mkubwa.
Kama hamuabudu sanamu naweza kumpa mtoto kile kisanamu achezee kama toi? Kwani Yesu aliposema anatafuta watu wanaomuabudu kwa imani alimaanisha nini? Au alipomwambia Tomaso hadi uniguse ndio uamini?
Kama ili kuabudu Wakatoliki lazima watumie hicho kisanamu kwa kukigusa, basi hawana tofauti na Tomaso!
Vyote hivi ni off, una Google bila kujua una Google nini.Tatizo hamjui hata historia ya ukristo. Ukristo msingi wake ni mapokeo, yaani wakristo na waumini wa mwanzo walifanya nini katika kumtukuza Mungu na mwanaye wa pekee Yesu Kristo alijifanya mtu ili kuwafikia wanadamu katika mwili na katika mazingira yao. Ukisema kuuheshimu msalaba ni ibada ya sanamu basi unataka kusema wale wakristo wa mwanzo, pamoja na Mama bikira Maria ambao baada ya Yesu Kristo kufufuka na kupaa mbinguni, waliokuwa wakienda kwenye kaburi alilozikwa Yesu na kunyunyiza ubani na kufanya sala, walikuwa wanafanya ibada ya sanamu? Na kama walikuwa wanafanya ibada ya sanamu, kwa nini kuoitia ibada hizo hizo ndipo malaika wa Mungu alimjia mama bikira Maria na kumwambia maombi yake yamepokelewa na sasa ataondoka Ulimwenguni?
Tatizo lenu hamjui hata maana ya kuabudu sanamu. Mnashindwa kuelewa hata tafsiri halisi ya kutotengeneza chochote kilichopo Duniani au mbinguni, kisha mkakiabudu. Hamjui kuwa katika lugha ya kale neno angani halikuwepo, badala yake lilitumika neno mbinguni. Kristo au Mungu hayupo angani, na hakuna mtu aliyewahi kuiona sura au umbile la Mungu kiasi cha kutengeneza sanamu yake ili kuiabudu. Hivyo aliposema kitu chochote cha Duniani au mbinguni akimaanisha angani, ni vitu kama mwezi, jua, nyota au mawingu.
Msalaba siyo sanamu ya kitu kilichopo Duniani wala angani. Na kinachoabudiwa ni Kristo ambaye aligundikwa juu ya msalaba, na akaufanya msalaba kuwa alama ya wokovu wa mwanadamu:
Wakolosai 1:20: "...na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake, akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake.
- 1 Wakorintho 1:18: "Kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upumbavu, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu."
Why do Catholics kiss the cross on Good Friday?
- Ufunuo wa Upendo wa Mungu: Msalaba unaonyesha upendo usio na kikomo wa Mungu kwa wanadamu, kwani Kristo alikufa kwa ajili yetu tukiwa bado wenye dhambi (Warumi 5:8).
Obviously, the kissing of the Cross is a way of expressing love of the Lord who died on a cross and is best done with a large wooden cross rather than a small crucifix held in the hand of the person offering it for veneration.
NB. Taratibu za kubusu msalaba zilianza tangu karne ya 2 kama njia ya kushukuru upendo wa Kristo aliyekufa msalabani. Hiyo ni baada ya msalaba aliosulibiwa Yesu kupatikana Yerusalem. Vipande vya msalaba huo wa Yesu viliunganishwa na misalaba mingine ya kutengenezwa.
Miujiza mingi ilitokea kuhusiana na msalaba:
Miracles associated with the Holy Cross (True Cross) often focus on miraculous healing and divine manifestation. Key reported miracles include the instantaneous healing of a dying woman upon touching the True Cross during its discovery by St. Helena in 326 A.D., the raising of the dead, restoring sight to the blind, and the cross levitating or appearing to glow.
Key Miracles Related to the Holy Cross
- Discovery of the True Cross (326 A.D.): Saint Helena and Bishop Macarius, searching for the cross of Jesus, tested three discovered crosses. When a sick woman touched the first two, nothing happened, but she was immediately healed upon touching the third, confirming it as the True Cross.
- Resurrection of the Dead & Healing: According to tradition, as the Cross was carried to the church in Jerusalem, it caused dead men to be raised to life, cured paralytics, cleansed lepers, and healed the blind.
- Emperor Heraclius and the Cross: When Heraclius tried to carry the cross into Jerusalem with royal, prideful pomp, he was miraculously blocked by an invisible force. Only when he humbled himself and wore humble clothing could he carry it, accompanied by miracles.
- The Venetian Miracles: A known relic of the True Cross, while being carried during a procession in Venice, fell into a canal, but instead of sinking, it was said to float and resist rescue, allowing only its guardian, Andrea Vendramin, to retrieve it.
- Contemporary Miracles: Anecdotal accounts, such as one reported by a Hodja in 2018, report the Cross glowing and bringing about miraculous healings of children.
Peleka upumbavu wako huko na hao wapumbavu wenzako unaowateteaUkiwa na uelewa mdogo kama huu ulio nao kwenye masuala ukristo, utaona ni ibada ya sanamu, kwasababu hujui maana ya ibada, hujui maana ya sanamu, na hujui chochote kuhusu ukristo.
Kwa sababu hujui hayo yote, utaona wakristo wote, toka mitume hadi sasa, wanafanya ibada ya sanamu.
Unajua wewe unaanika ujinga wako humu wakati hujui kitu. Mie hata sielewi ulichoandika nikitu gani. Utumbo mtupu. Unapayuka blablablabla wala hueleweki unachosema au kubisha, kama taahira fulani hivi. Mie sio ligi yako mjinga wewe.
Nilichokuelewa ni kwamba hujui maana ya karne ya nne, unadhani ni mwaka wa nne, ndio maana unabisha kwa kuongelea matuki0 ya mwaka wa 64 AD nk
Soma uelimike, mjinga wewe, hujui hata maana ya karne unakuja kutoa utumbo humu JF
View attachment 3569712
Kumbukumbu za ukristo zinaonesha kuwa Kanisa la mwanzo kabisa liliitwa Katoliki, ikimaanisha Kanisa la watu wote, kulitofautisha na lile la kale ambalo lilikuwa kwaajili ya wayahudi pekee. Uthibitisho wa hilo unauona kwenye maandiko ya kihistoria ya kanisa yaliyoandikwa na Askofu mkuu wa Kanisa la Antiokia, Askofu Ignatius, andiko la mwaka 110 ambapo anaandika kwa ku-address kwa Kanisa Katoliki, yaani kwa Kanisa la Ulimwengu mzima, hiyo ni zaidi ya miaka 200 kabla ya utawala wa mfalme Costantine. Kuungamisha kuanza kwa Kanisa Katoliki yaani kanisa la Ulimwengu na mfalme Costantine, ni kukosa maarifa. Ni kweli kuwa ukristo ulipata nguvu sana wakati wa mfalme Costantine kwa sababu alikuwa mfalme wa kwanza wa Roma kuwa mkristo, lakini yeye hakuanzisha ukristo wala Kanisa Katoliki, alilikuta na kuliendeleza kwa kutumia influence yake kama mtawala. Hata baada ya Kansa la mwanzo kugawanyika, bado hata waliojitenga waliendelea kujiita ni Kanisa Katoliki. Ndiyo maana Kanisa katoliki lililoendelea kuwa chini ya uongozi wa papa wa Roma, liliitwa Roman CATHOLIC, lile lililojitenga lilijiita East CATHOLIC yaani Kanisa Katoliki la Mashariki, ambalo kwa sasa linajiita Orthodox.
Kwa matusi unayoporomosha humu, jiulize kama wewe mwenyewe unaamini ni mzima. Siamini mtu aliye mtimilifu anaweza kuwa anajenga hoja zake kwa matusi na kejeli zisizo na msingi kwa kiasi hiki, labda wewe hujafikia kiwango cha kufundishika na kufanya argument kama mtu aliyestaarabika. Labda wewe ni bingwa kwenye mashindano ya kutukanana, mimi huko siko. Kama ni kutafuta ubingwa wa kutukanana, sistahili na wala sina sifa ya kuingia huko. Mimi nazingatia hoja za kimantiki, siyo kejeli na matusi.Vyote hivi ni off, una Google bila kujua una Google nini.
Nimesema dini ya Roman Catholic ilianza karne ya nne kwa kuanzishwa na Constantine, alipokubali kuwa Mkristo na Roman empire ikafanya ukristo kuwa dini ya empire, kipindi cha miaka ya 300s, ambayo ndio karne ya nne. Waroma walipokea Ukristo, hawakuanzisha Ukristo. Na kwa kuwa Roma ilikuwa milki ya dunia, walipopokea ukristo waliuneza katika milki yao yote, kuanzia Ulaya. Wakristo wa kwanza, Wayahudi, walikuwa chini ya Utawala wa Roma, ambao hawakuwa Wakristo wakati huo na hata waliwaua Wakristo pamoja na Yesu. Paulo aliuwawa na Waroma. Sasa unachobisha kama taahira ni nini?
Mengine yote unayopaste humu ni pumba tupu.
Hivi umejiona ulivyo mjinga lakini? Una kiherehere kama mshindo wa kwanza!
Inasemaje hiyo filosofia?Mimi sio mkatoliki, nilikuwa napenda sana kuwahukumu hawa jamaa ila mwaka wa tatu nikiwa chuo nikakutana na course moja ya philosophy of religion tangia pale niliacha hizi hukumu uchwara.
Uliposema tu Yesu ni mzungu ndipo nilipogundua wewe ni hopeless hakuna haja ya kuendelea kusoma.Ni kitu gani kinachofanyika hapa?
Kwa nini Yesu ni mzungu?
Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
View attachment 3568247
Kwa matusi unayoporomosha humu, jiulize kama wewe mwenyewe unaamini ni mzima. Siamini mtu aliye mtimilifu anaweza kuwa anajenga hoja zake kwa matusi na kejeli zisizo na msingi kwa kiasi hiki, labda wewe hujafikia kiwango cha kufundishika na kufanya argument kama mtu aliyestaarabika. Labda wewe ni bingwa kwenye mashindano ya kutukanana, mimi huko siko. Kama ni kutafuta ubingwa wa kutukanana, sistahili na wala sina sifa ya kuingia huko. Mimi nazingatia hoja za kimantiki, siyo kejeli na matusi.
Wewe ndiye mtupu kabisa, ni zero kabisa katika historia ya Ukristo. Hujui chochote!!
Mnalishwa upuuzi, nanyi mnabeba huo upuuzi kama vile hamna akili ya kujiuliza kama mnachoambiwa kina mantiki.
Wewe kama una elimu, basi itakuwa ni kwenye mambo mengine, lakini kwenye historia ya ukristo, wewe una zero understanding. Na huenda aliyekufundisha alikuwa mjinga kuliko wewe kwenye masuala ya ukristo, matokeo yake akakurithisha ujinga wake.
Basi ungesema kwani yesu ni mzungu? Ulivyoandika kwanini imebadili maana.Sijasema, nimeuliza.
Huoni utofauti?Kuna tofauti gani kati ya hayo maswali mawili?
Mbona wanaabudu sanamu mkuu? Sasa hapo umeshindwa kuelewa nini hadi uanze kutuchosha kwa maswali ya rejareja?Ni kitu gani kinachofanyika hapa?
Kwa nini Yesu ni mzungu?
Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
View attachment 3568247
Kutoka 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Inasemaje hiyo filosofia?
Mfano dini ya kitamaduni ya kiafrika( African tradition religion) wao waliamini kwamba tukienda eneo la mti fulani hapo tukatambika na kuomba mvua tutapata mvua na ikawa kweli.inasema kwamba kuna vitu ambavyo kundi moja la watu wenye imani fulani limeviweka kuwa vitakatifu na kuviheshimu kama sehemu ya imani yao. Ambavyo wengine wakitazama wasio wa imani hiyo huona kama wanafanya vibaya au usema kuwa ni kufru. Lakini kwa watu wa imani husika uvichukulia kwa utukufu, usafi na shukrani.