Wakatoliki leo wamuombee Rais Nicolás Maduro

Subiri na yale masheikh yenu ya iran yatakaposhughulikiwa ndio utajua hujui
 
Yani hawa kina Padre Kitime ndo wamuombee? Kitime mwenyewe anaishi kama panya anaogopa kwenda mbinguni wakati anajiita mtu wa mungu
Akili yako ina ukakasi(chawa yeyote)..Katika dini ya katoliki mtu haogopi kwenda mbinguni ila anagopa kupelekwa mbinguni.Binadamu lazima apiganie kuishi atekeleze wajibu wa kiMungu mpaka Mungu atakapomchukua mwenyewe.Wamwaga damu wa Tanzania(Samiya na genge la wahuni) wanakatisha uhai wa wanadamu sio kupeleka watu mbinguni.
 
Inahusiana vipi na dini yake? Acha kulazimisha issue ya dini kwenye uongozi wa mtu, alikuwa mkatoliki sawa, ila ni muovu na uovu ni wake binafsi, sio ukatoliki.
 
Wewe jamaa ni mjinga na mdini sana. Hauangalii haki bali ni dini tu. Usijidanganye kuwa muislamu ndio tiketi ya peponi. NONSENSE
 
They think differently
Usipoteze muda wako
 
No honor among thieves
 
Hakuna ukatoloki kwenye kuua raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…