Tumsifu Yesu Kristu! Mkuu Aisatu!Mkuu upo vizur sana,mimi naomba kuliza mtu akifa anaenda wapi? Kwenye kanuni ya imani tunakili kuwa "atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu" sasa hao wafu bado wapo makaburini,na ukisoma ufunuo,7:9-10,sasa hao ndo watakatifu walioishi vizur hapa duniani,ndio maana sielewi vizur wafu bado wapo makaburin au?
Naomba majibu mtumishi wa Mungu
Tumsifu Yesu Kristu Mkuu Me toomkuu hongera kwa nondo nzuri hizi.
nikuulize hivi baba au mama yako akifariki je askofu anaruhusiwa kwenda kuendesha ibada ya kumzika mama yake?
vvipi unazungumziaje juu ya wakatorikiwa nao endaga makaburini kuzungumzq na marehemu wapendwa wao je hii imekaaje kikanisa?
Ilikuwaje Mkuu General Mangi
Yupo kwenye usista zaidi ya miaka 7, ni jirani yetu kabisaa, nyumba ya 3 kutoka kwetu.Ilikuwaje Mkuu General Mangi
katika utawa kuna wito wa aina 3Yupo kwenye usista zaidi ya miaka 7, ni jirani yetu kabisaa, nyumba ya 3 kutoka kwetu.
Si tunashangaa kupata habari kaacha usista na kuamua kuolewa!!
Itakua jamaa alimuelewa sista tangu zaman