Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,167
Hapo ndo sawa na "Kaa akiinua gando mambo yamekwisha" Hakuna swali.Roma Locuta, Causa Finita Est!
Mkuu Kanisa Halifundishi Hivyo.Outside the Catholic Church no Salvation
Mkuu chutama upo uchi kwa maneno uliyotoa hapa dhidi ya ukatoliki..usipende kujionyesha jinsi ulivyo mtupu kichwani mwako kwa kushindwa kuheshimu madhehebu ya watu.mbona wahindi na ng'imbe wao huzungumzii..narudia tena kukuambia chutama mkuuUkatoliki una mambo ya kijinga jinga hadi kinyaa
Mmmmh jitafakari tenaUkatoliki una mambo ya kijinga jinga hadi kinyaa