Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rasmi leo mwanamuziki wa hip hop ndugu, Webiro Wasira alimaarufu Kwa jina la Wakazi achukua fomu yakuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika Uchaguzi Mkuu ujao Oktoba 2020.