Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jul 14, 2020 #1 Rasmi leo mwanamuziki wa hip hop ndugu, Webiro Wasira alimaarufu Kwa jina la Wakazi achukua fomu yakuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika Uchaguzi Mkuu ujao Oktoba 2020.
Rasmi leo mwanamuziki wa hip hop ndugu, Webiro Wasira alimaarufu Kwa jina la Wakazi achukua fomu yakuomba ridhaa ya chama cha ACT Wazalendo ya kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika Uchaguzi Mkuu ujao Oktoba 2020.
be unique JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,381 Reaction score 2,287 Jul 14, 2020 #2 Kila la heri.
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Jul 14, 2020 #3 Watoto wa siku hizi ukisema wakazi wanajua ni kundi hilo aiseeeeeeeeee.