Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Wakazi afanikiwa kuzindua album yake, uzinduzi ulifana sana na kuhudhuriwa na watu wengi sana akiwemo mmoja wa waasisi wa Hip Hop bongo KBC
Wa Kwanza Unit na mademu wazuri kibao, wakazi ni mmoja wa
Wasanii wenye nyimbo nyingiiii na video nyingi mpaka Sasa kwenye game ya bongo, enjoy the pictures!!!!!!!!!!!