Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
wakazi ndo nani? weka cheti chake cha kuzaliwa.
Wakazi ni mtoto wa mzee wasira angalia usije ukaambiwa wewe ndo utoe chetiwakazi ndo nani? weka cheti chake cha kuzaliwa.
Atakuja afungwe huyuAcha visa
View attachment 740085View attachment 740086View attachment 740087View attachment 740089View attachment 740090View attachment 740091
Wakazi afanikiwa kuzindua album yake, uzinduzi ulifana sana na kuhudhuriwa na watu wengi sana akiwemo mmoja wa waasisi wa Hip Hop bongo KBC
Wa Kwanza Unit na mademu wazuri kibao, wakazi ni mmoja wa
Wasanii wenye nyimbo nyingiiii na video nyingi mpaka Sasa kwenye game ya bongo, enjoy the pictures!!!!!!!!!!!
Kweli anafanya kazi nzuri SanaHatua nzuri kaonesha njia kwa wasanii wanaoogopa kutoa album
Yap exactlyBig up wakazi. Baddest MC
Wanawake wa DARMademu zao mi nawachapa bakoraaa nawachapa bakoraa .wakazi a hit kama lupe fiasco
Nikweli na ninaona hatua ya wengine kuelekea hukoKweli anafanya kazi nzuri Sana
Kuhamasisha wengine
Kweli kabisaJamaa anapenda kujisifia sana katoka mamtoni uyuuu ngoma nyingi tyuu but jamaa najua yuko vizuri