Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Pameanza kuchangamka.
Baba yake atamlipia.Duh,hela yote hii atatow wapi huyu
Kumbe yote ni macccm, acha yauane hayana faida kwa taifa!Pameanza kuchangamka.
Akishindwa, baba yake Mzee Wasira atamsaidia kulipa!
I can smell kachuki kwa mbaaaaliWakazi hana hela ,ni wale diaspora wanaishi nje bila ya mpangalio wa familia kama Roma..Maisha ya huko ni magumu so familia wanaacha mbali .
Mtu mzima amebaki kushangaa maghorofa ,haya sasa kayatimba...
Ramadhani Mubarak.!
Ni wale wale wazee wa shoboI can smell kachuki kwa mbaaaali
I can smell kachuki kwa mbaaali. Do you really KNOW him?Ni wale wale wazee wa shobo
Kwani wewe ndiye Mange kimambi dada?I can smell kachuki kwa mbaaali. Do you really KNOW him?
Tayari ushachemka. Acha chuki watu usiofahamu.Kwani wewe ndiye Mange kimambi dada?
Ni taarifa gani hizo?taarifa zilizosambazwa na Wakazi dhidi ya mlalamikaji zilikuwa za uongo na zenye kumdhalilisha,
NIwe honest ,sifagilii wajivuni na washamba wa baraTayari ushachemka. Acha chuki watu usiofahamu.
Sawa.NIwe honest ,sifagilii wajivuni na washamba wa bara