Wakazi amchana Diamond kwa kukwamisha Wasanii wenzake nje ya Nchi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Kupitia Instagram akaunti yale, Rapa Wakazi ameandika

"Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana tamaa baada ya wewe mwenyewe kusanda huko “international”… kabla ulikuwa kimya kama sio perpetrator mwenyewe.

Muziki wa Tanzania haujaanza kufanya vizuri sasa hivi, infact sasa hivi ndio unafanya vibaya zaidi historically, maana wewe ndio Number 1 artist, lakini hata kujaza watu elfu 6 ughaibuni kimbembe, Waafrika wanaweka Historia duniani wewe umerudi kupambana na Ally Kiba.

Mimi binafsi nilikuwa nakukubali kwa nidhamu yako ya kazi (work ethics) na uthubutu, ila sasa umekuwa miyeyusho. Tunaelewa na kuheshimu kwamba umekuwa mfanyabiashara… maybe ndio imekuathiri upande wa muziki na huo ushindani usio na tija ambao huko duniani hamuwezi upeleka umepelekea kutaka kutia huruma.

Ngoja nimalizane na maswala ya Chama (ACT Wazalendo) na pia ku post kazi za Wasanii ambao wanafanya Sanaa kwa Level ya juu kwanza, alafu nitarudi kudadavua nachomaanisha kwa kutumia hiyo clip yako and beyond."

Beberu
 
Diamond a-focus tu level za juu, asirudi huku kwa akina Kiba.
 
Daah huyu mwamba.Ila ndio hivyo wakati unapambana peke yako mara nyingi watu wanakukejeli na kukuacha uumie mwenyewe ila ukisha toboa wanaanza kulalamika huwasaidii wakati wao walishindwa hata kukusapoti.

Dogo wakati media zinambania hamna msanii aliyetoka mbele kumtetea,akapambana na kuwekeza kwenye digital platforms. Akawa ana andaa matamasha baadhi ya wasanii wakiitwa hawaji anapambana na wasanii wa label yake leo hii kasimama.Wale wale walio kaa kimya kipindi kile,wakati mwana anataabika ndio wanasema mara ana roho mbaya,hasaidii wenzio ana chuki.

Ila huyo wanaye mwita ana roho mbaya kupitia yy kisha tengeneza wasanii wakubwa nje na ndani ya Afrika mashariki, sasa hao wanaomsema wao wameufanyia nini huu mziki na wamemsaidiia nini Mondi kipindi anasota.

Ndio maana Ramadee kipindi fulani na yy anatema nyongo yake alisema wasanii ni wanafiki, kwani nae alipambana mwenyewe ila hakutoboa kaamua akae na mzungu wake,aendelee kuimba kwenye mahotel.

Sasa atleast hata huyu, ndio Ughaibuni hajafanya vizuri, je nani Africa mashariki na kajaza kwa shows yake mwenyewe. Halafu mwana sijui hits yake hata moja, sijui anafanya mziki gani. Kweli mafanikio huvuta maadui wengine hata usio wajua.
 
[emoji106]
 
Wakazi ni educational ego yaani mtoto wa kiume kuchanganya lugha anaona ni dili kubwa na kujifanya anajua sana,kama sio mzee wake kuwa ccm na kukomba pesa kumsomesha nje alikuwa hamna kitu na elimu yake ya ugoko.

Huwezi kumshambulia mtu ambaye ni msanii kama wewe ,huyo Diamond maraa apondwe kwamba yupo chini Harmonize ila watanzania wakishindwa kimataifa anafuatwa Diamond pekee na sio Harmonze wala Ally kiba.

Mziki ni biashara kila mtu afanye kivyake , Diamond kasaidiwa sana ila juhudi ndio zimemuweka pale maana kila msanii kasaidiwa kwa nn wasije juu kama yeye?
 
Kupitia Instagram akaunti yale, Rapa Wakazi ameandika

"Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana tamaa baada ya wewe mwenyewe kusanda huko “international”… kabla ulikuwa kimya kama sio perpetrator mwenyewe.

Muziki wa Tanzania haujaanza kufanya vizuri sasa hivi, infact sasa hivi ndio unafanya vibaya zaidi historically, maana wewe ndio Number 1 artist, lakini hata kujaza watu elfu 6 ughaibuni kimbembe, Waafrika wanaweka Historia duniani wewe umerudi kupambana na Ally Kiba.

Mimi binafsi nilikuwa nakukubali kwa nidhamu yako ya kazi (work ethics) na uthubutu, ila sasa umekuwa miyeyusho. Tunaelewa na kuheshimu kwamba umekuwa mfanyabiashara… maybe ndio imekuathiri upande wa muziki na huo ushindani usio na tija ambao huko duniani hamuwezi upeleka umepelekea kutaka kutia huruma.

Ngoja nimalizane na maswala ya Chama (ACT Wazalendo) na pia ku post kazi za Wasanii ambao wanafanya Sanaa kwa Level ya juu kwanza, alafu nitarudi kudadavua nachomaanisha kwa kutumia hiyo clip yako and beyond."

Beberu
Mwanaume unalilia kusaidiwa
 
Wakazi naona aache kuimba apewe uwaziri wa sanaa na burudani naona anatamani kuifanyia kitu kikubwa sanaa ila amezungukwa na watu wenye Huwezo Mdogo wa kufikiri katika Akili na wakazi haitaji Huruma ya Mtu ili kuishi mjini that way anawasilisha ukweli kwa Lugha ngumu.
Sasa kama yeye anaweza kufanya kimataifa s afanye, mbna hajazuiwa.
 
Wakazi naona aache kuimba apewe uwaziri wa sanaa na burudani naona anatamani kuifanyia kitu kikubwa sanaa ila amezungukwa na watu wenye Huwezo Mdogo wa kufikiri katika Akili na wakazi haitaji Huruma ya Mtu ili kuishi mjini that way anawasilisha ukweli kwa Lugha ngumu.
Ww ndiye wakazi mwenyewe
 
Tatizo, LA watu weusi hili, ukiwa Tanzania, usipambane na Mond au Kiba, pambana, na Davido,Whiz kid, P square, ukitoka TZ ukawa Afrika, adui yako sio tena Davido, na P square, wewe pambana na Fifty cents, R Kelly, nk,
Siku tukielewa hii maneno,itakuwa safi sana.
Mond,ameweka standard za malipo huko nje,
Pitieni humo humo,
Sasa, unakuta watu kama marioo,harmonize, Kiba, wana pambana na Mond! Wao inabidi wajiunge na Mond wawe jeshi moja, wapambane na huko duniani,
Kwa Mond nae, asione wivu kwa wasanii wengine kukua na kuanza kumzidi, ndio inavyotakiwa,
Dunia ni pana sana, inauwezo wa kuwa na kina Mond, Kiba, Hata Mia!
Walikuwepo Fifty cents, R Kelly, Eminem, puff Daddy,
Yalikuwepo makundi kama 98 degrees, Backstreet boys, black street boys, Ub40! Na yote yalikuwa makali sana, tuache huu uchawi wa kudhani lazima kila zama awepo mmoja tu bingwa!
Hii mentality, ya kuwa na "house bigger mmoja, na field bigger mmoja" Ni ujinga.
Mond mmoja ametoa ajira kibao, fikiria, wakiwa Mond 10! Na wote wakaanzisha tv na radio!
 
Anaimba Hip Hop Bongo halafu anataka kuongea habari za shows za nje! Hana taarifa nini? Bora aimbie hukohuko Sinza tu, huko Duniani Hip Hop onayosilizwa ni ya wamarekani tu peke yake. Waingereza wenyewe wanajitahidi wanachemka
 
Back
Top Bottom