Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi yake.
Kupitia ukurasa huo wa Twitter alisema "Ngwear was a good rapper no doubt, but sometimes i wonder what people saw in him that was so exceptional.
"I think he was gifted in a way it seem he did it effortlessly, but i know about a dozen of emcees with better rap skills than him.
"Btw, the comparison i made isn’t literal"
Kauli hiyo imeamsha hisia za watu wengi waliomshambulia kutokana na kupingana na mtazamo wake.