Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ushaanza na swagi za kikabilaFor me Ngair was gifted ...sikio langu limejiridhisha kuwa kwa bongo sijawahi mskia rapper mkali km albert
Note
Ngwair ni mngoni
Professor j mngoni
Sterio mngoni
Godzilla mngoni
Hawa n baadhi ya wasanii kutoka Ruvuma ambao nawakubali sana
Kusema ukweli ni kichaa?Una kichaa.
We unajua utakufa kifo cha heshima ?
Snoop Dogg anahesabika kama Gwiji, Legend kabisa.. Unafuatilia nyimbo zake? Weed, B*****, Gangstas n.k je nae anasifiwa tu au ushabiki tu KungarochiNGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
Hapana, basi nambie wewe maana ya GOAT kuwa ukiitwa GOAT wewe ni bora kuliko wote, mind you my point ilikuwa kila mtu ana u - GOAT wa namna yake, hata wewe unaweza kuwa GOAT kwakuwa unaleta hela ya mboga kila siku kwenu, lkn haimaanishi wewe ni GOAT kwa jirani yako, wewe umemaanisha Ngwair ni bora kuliko wana Hip Hop wote Bongo, ndio tafsiri yako ya U - GOAT ilivokuwaUnajua maana ya GOAT? Tuanzia hapo kwanza
Kuna watoto wengi sana hapa ndio tatizo. Wakazi mwenyewe Ngwair anachukua Kili music awards anakula kuku na mrija sijui US huko, kaikuta game nyepeeeeesi anajikuta mchambuzi [emoji23]Kizazi cha Diamond hamtaelewa kamwe hamtaelewa,
Wee weka mistari ya msanii unayemkubali tu mkuu tupime
Sisi mashabiki wa Ngwair tunataka mistari
Hapo kwa Moe Tekniks jamaa kapuyanga, Moe mtu mwingine kabisa.hapo ni sawa unamaanisha Nay ni mkali zaidi ya Dizasta.. unasema haumjui jay moe Haha haha! we jamaa sasa nimeelewa kwanini mnamwita ngwair GOAT..
Ingekuwa ni vyema nawe ungeweka yako tupimeOverrated Album, very average one.
Hii ni kali kuliko zote zilizowahi kutolewa pale Tamaduni.. Huwa nashangaa watu kuiweka SYJ ya Nikki zaidi ya hii.. Soga ni masterpiece, Ila kulinganisha hii na AKA Mimi ni sawa na kulinganisha Illmatic ya Nas na To Pimp A Butterfly ya Kendrick zote ni masterpiece ila kuna namna haziwezi hata kuwekwa mizani sawaSoga za Mzawa.
Uandishi wapo wengi tu, hata Dizasta ni bora kuliko hata 75% ya rappers wengi hapa bongo dead or aliveMaana yake ushakubali Kuna wasanii wapo wanaomzidi kwenye kipengele Cha uandishi
Kwa nini yaani au kipi? Unafurahisha sana chief.. hebu kaa hapo sikiliza kwanza Album ya Vina Mwanzo, Kati na Mwisho then uje mara ya pili.. huo uandishi wa kina One, Nikki, sijui punchlines hizo Multisyllabic rhymes Fid kapiga miaka ya 2000 huko na Fid Q.Com hivi hizi story za vijiwe vya kahawa huwa hamuoni noma kudanganyana?Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkali
Ameniskitisha sana huyu jamaa, sijui anatumia reasoning gani hata, Yaani Ngosha unampima na One na Nikki [emoji23]Yani unasema Ngosha wa kawaida Kwa Uno na Unju?
Umewapima kwenye vitu Gani hebu tujuze labda unaweza Kuwa uko sahihi
Ipo vizuri ila umesikiliza chapter" track number 5 sauti ya jogoo!Hii ni kali kuliko zote zilizowahi kutolewa pale Tamaduni.. Huwa nashangaa watu kuiweka SYJ ya Nikki zaidi ya hii.. Soga ni masterpiece, Ila kulinganisha hii na AKA Mimi ni sawa na kulinganisha Illmatic ya Nas na To Pimp A Butterfly ya Kendrick zote ni masterpiece ila kuna namna haziwezi hata kuwekwa mizani sawa
Amezingua.Hapo kwa Moe Tekniks jamaa kapuyanga, Moe mtu mwingine kabisa.
Wakazi game gani analolijua aisee [emoji23], hivi unajua hawa kina Ngwair wanapigwa makofi pale kwa Majani wachane vizuri huyo Wakazi anadeka kwao na bado akaenda US mda tu, karudi ndio kujiingiza Tamaduni?yuko sahihi 100% and he has analysed quite well wakazi ni mkali anaijua game, ngwear kwa Godzilla na FidQ haingii kbsa
Sauti ya Jogoo kali sana na nilinunua kwa pesa yangu mkononi kwa Nikki mwenyewe, sawa na soga za mzawa, ni full package kuanzia Uandishi, Content, Boom Bap Beats (Pure Hip Hop Beats), Punchlines n.k ila kwa Uno sijui why huwa nampa Uno, ni maoni yangu tu lkn chief ila Mbishi alitupa Masterpiece piaIpo vizuri ila umesikiliza chapter" track number 5 sauti ya jogoo!
Amezingua.
Nimeipenda list. Hapo wakazi anapotezwa na mex cortez.Wakazi game gani analolijua aisee [emoji23], hivi unajua hawa kina Ngwair wanapigwa makofi pale kwa Majani wachane vizuri huyo Wakazi anadeka kwao na bado akaenda US mda tu, karudi ndio kujiingiza Tamaduni?
Aya nitajie hata Ep na Albums kali za Wakazi au impact yake yoyote katika hili game zaidi ya kingereza kingi? Au pale TAMADUNI nitajoe top 5 yako nione utamweka wakazi namba ngapi au hata 5 bora ataingia?
1. Nikki Mbishi
2. Stereo
3. Nash Mc
4. Kadigo
5. Ghetto Ambassador
Taja wako nione sasa na Wakazi, hata nikiongeza hadi 7 bado Wakazi hayumo
6. Songa
7. Dizasta Vina
Eti leo anakuja anakwambia Ngwair is overrated [emoji23]
Yeah sema one napenda uandishi wake wa mashair. kuna mdau hapo juu anasema ngwair haingii hata kwa godzila sasa mtu kama huyo hawezi kumwelewa one au dizasta.Sauti ya Jogoo kali sana na nilinunua kwa pesa yangu mkononi kwa Nikki mwenyewe, sawa na soga za mzawa, ni full package kuanzia Uandishi, Content, Boom Bap Beats (Pure Hip Hop Beats), Punchlines n.k ila kwa Uno sijui why huwa nampa Uno, ni maoni yangu tu lkn chief ila Mbishi alitupa Masterpiece pia
Mtu anataja tu vitu, muulize basi una albums ngapi hata ep binafsi umewahi nunua ngapi za hao wasanii anashangaa tu, unakuta hata havijui hivo vitu all he knows ni story za XXL na Wasafi pale.. huwezi shangaa akasema Late Zilla ni zaidi ya NgwairYeah sema one napenda uandishi wake wa mashair. kuna mdau hapo juu anasema ngwair haingii hata kwa godzila sasa mtu kama huyo hawezi kumwelewa one au dizasta.
Niliwahi kumsikia Ngwea akisema haya wakati anahojiwa haya kwenye kipindi cha radio. Kumbe mlikuwa wote mkuu?Ngwair was exceptional,
Mwulize fiQ kilichomkuta kwenye CNN. Alikiri ndiye msanii wa kwanza Tanzania [emoji1241] kumfanya afute verse aliyoandika na kuandika upya. Kuna siku nilikua natembea na bwana Albert zamani kidogo tunatoka mwenge kwa mapacha tunaelekea ghetto kwake knyama. Jamaa tunapiga story huku anafanya kama freestyle, tumefika kwake tayari akachukua peni akaanza kuandika. Kilichokuja kutokea ni hitsong moja kali sana kuwahi kutokea kutoka kwa ngwea. RIP