Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu,
Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi kuchukuliwa na kisha kupigishwa kura kwenye kura za maoni zilizofanyika Octoba 24 Mwaka huu.
Hali iliyosababisha Mwenyekiti anayeungwa mkono na Wananchi apigwe chini kwa kuzidiwa kura ambazo wanadai zilikuwa Feki.
Nilipopeleleza Zaidi wakaniambia kwamba Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndiye anapigiwa upatu na viongozi wa CCM Mkoa wa Tabora kupitia wawakilishi wake ili apite, sasa Msaada unatakiwa kwa hawa wananchi ili uchaguzi urudiwe..
MAANA kama wanapitisha Viongozi ambao dalili zinaonyesha wazi hawatakiwi Mwisho wake utakuwa ni nini? Tusijekuleta maafa kwenye Kijiji cha Isawima huko