Hio ya kuita wasanii kioo cha jamii au mfano wa kuigwa nadhani ni kupotoka - binafsi contract yangu na wasanii ni kazi zao na si vinginevyo; Najua wasanii kama binadamu nao kuna wapuuzi na upuuzi mwingi (R Kelly kuwa kwake Jela na alichofanya) haibadilishi uzuri wa kazi zake na kwamba ni King of RnB;Hiyo "entertainment" si inaendeshwa na "entertainers" na jee hao entertainers hawana wajibu kwa jamii.
Watu wanawezaje kuburudishwa na wasanii wanaowatukana na kuwadharau?
Kwa hiyo wewe msanii anaweza kumuua ndugu yako ila kwa kuwa ana kazi nzuri ya kisanii utaendelea kumshabikia bila ya kujali kama amemuua ndugu yako?Hio ya kuita wasanii kioo cha jamii au mfano wa kuigwa nadhani ni kupotoka - binafsi contract yangu na wasanii ni kazi zao na si vinginevyo;
Majizo ni mnufaika wa industry ya mziki ndio maana Katia nenoMwambie MAJIZZO hao jamaa anao wapambania WAENDE VETA kuna kazi zingine za kufanya sio kukata mauno na kubana pua, wafanye kazi sio kulia lia tu kazi zipo nyingi si lazima watutegemee sisi wananchi
Akiua mtu kuna sheria inabidi awekwe ndani (kama hata R Kelly) ndio maana yupo ndani, lakini haimaanishi I WISH moja ya kibao murua kimebadilika na kuwa kibaya ghafla - by the way sishabikii mtu bali ninaconsume kazi ; naposikiliza hapa kibao cha Donnel Jones (You Know What Up) sikisikilizi sababu amekitoa Donnel Jones (after all ni unknown kwa wengi) bali nakisikiliza sababu ni kizuri kwangu na kinanipa farajaKwa hiyo wewe msanii anaweza kumuua ndugu yako ila kwa kuwa ana kazi nzuri ya kisanii utaendelea kumshabikia bila ya kujali kama amemuua ndugu yako?
Muda wa kusikiliza matusi ya msanii sina; after all kuanzia mwanzo najua intelligence prowess yake huenda leaves a lot to be desired; na kazi yake itategemea kama ni nzuri tai-consume kazi kama kazi na kama ni gharasha wala haitapata hata sekunde ya muda wangu - najua void ya kutokuwa na hizo kazi na hasara yake kwenye jamiiMsanii akutukane atakavyo ila dakika mbili baadae unaifurahia kazi yake..?
Sasa unataka watu wote tuwe aina kama yako ? To each their Own.....Lakini watu wa aina yako wapo pia duniani.
Ni upunga tu ulionuiwa wakati wa novena ndiyo unaowasumbua, we mwenyewe utaenda kwenye show za ney?!!!! Sema ukweli kutoka moyoni.Watuletee ROMA, NEY WA MITEGO, WAKAZI na wanamziki wote ambao vipaji vyao vime fifishwa makusudi, kama huyo ney ndio hata show na matangazo hawampi kabisa, ila hawa wanao imba maujinga yao ndio wanaopewa airtime
Naenda, mapema tuNi upunga tu ulionuiwa wakati wa novena ndiyo unaowasumbua, we mwenyewe utaenda kwenye show za ney?!!!! Sema ukweli kutoka moyoni.
hamna tabu ukiwasamehe wewe! Ila jua wewe ni mmoja kati ya millions.Huyo Majizo ni mnufaika wa Tasnia ya Entertainment kwahio vita dhidi ya wasanii inamuathiri biashara yake na ametumia busara kurudi kwa wananzengo sababu ya survival ya Industry....
Kwahio nadhani ni mdau wa Industry na alichofanya ni busara na mimi kama mlaji wa Kazi za wasanii ni bora kuwa na wasanii than lack of....
Huyu mdau hii ni kazi yake na hii ni industry yake ufanyaji vema wa industry ndio ustawi wake...; Kwahio ana kila sababu ya kupigania ustawi wa industryhamna tabu ukiwasamehe wewe! Ila jua wewe ni mmoja kati ya millions.
Wapo wasanii ambao hawajatukana shabiki wao. Hao wataungwa mkono kwenye kazi zao.Huyo Majizo ni mnufaika wa Tasnia ya Entertainment kwahio vita dhidi ya wasanii inamuathiri biashara yake na ametumia busara kurudi kwa wananzengo sababu ya survival ya Industry....
Kwahio nadhani ni mdau wa Industry na alichofanya ni busara na mimi kama mlaji wa Kazi za wasanii ni bora kuwa na wasanii than lack of....
Majizo ni .Faller kama Maphaller wengine.
Wakale walipopeleka mboga ,wao ndiyo wahubiri wa kwanza wa hizo chuki unazozizungumzia ,watoe bolt kwenye macho kisha ndiyo waje watoe/utoe kibanzi.Msiruhusu chuki zitawale mioyo yenu...
Perception yangu hata utukane mpaka uso uwe mwekundu nitakupuuza sababu kutumia muda wangu kusikiliza matusi au kunisifia kwa mgongo wa chupa huo muda sina....Wapo wasanii ambao hawajatukana shabiki wao. Hao wataungwa mkono kwenye kazi zao.
Huyo Naseeb na ma 'choco' wenzie waende wakatumbuize kwenye events za fisiem na za nje ya nchi.
Huko watapata shabiki na followers wa account zao mitandaoni.
Kila mtu na afuatilie mambo yake.Perception yangu hata utukane mpaka uso uwe mwekundu nitakupuuza sababu kutumia muda wangu kusikiliza matusi au kunisifia kwa mgongo wa chupa huo muda sina....
Kazi yako (wala sio zako sababu unaweza ukatoa boko) itakuchua muda wangu wa kui-consume kama ni nzuri na sio vinginevyo hata kama kila siku unanisifia...
Huyo ni mimi ila kwa mtu ambaye entertainment ndio bread and butter ya maisha yake na industry yake ninamuelewa anachokiongelea na kupitia wasanii ndio tools of his trade...
Moja huwa nashangaa sana watu wanaofuatilia mpaka maisha ya mtu (celebrity) ila ndio hivyo to each their own ; lakini mwisho wake ndio huu watu kuwa disappointed na kujali au kuumizwa na nani kasema nini - ila ikiwa mtu unafanya kile au kutumia kile au consumption ya kitu ambacho kinakusaidia kwa wakati husika wala hautapata shida...Kila mtu na afuatilie mambo yake.
Watu wakifuatilia kazi za mwingine, akipata pesa kupitia kufuatiliwa kazi zake anaona wajinga wanao fuatilia kazi zake na hawafanyi kazi.
Sasa walaji wa muziki wameamua kufanya kazi zingine ambazo watapata acknowledgement and recognition, or appreciation.
Naungana na wewe katika hili.Hua nacheka sana wanaomzungumzia ruge, n kama vile huyo ruge ni mungu wao, kila kitu refer to ruge 🗑️
Majizo ngese tuu