Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 752 Nov 4, 2010 #1 Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu Mungu yupo....
Duh hii nyomi ya Mwanza ilikomaa kinoma kwa matokeo ya Nyamagana kwa kweli Jk na Masha wangeiforce matokeo ingekuwa dhahama....Jionee mwenyewe kwa kweli iko siku haki ya Mtanzania itapatikana tu Mungu yupo....
Double X Senior Member Joined Nov 4, 2010 Posts 184 Reaction score 3 Nov 4, 2010 #2 hiyo ndio inaitwa nguvu ya umma, hata kama wangechakachua nyamagana ingekuwa kama darfur!!!
C CLAY KITUMBOY Senior Member Joined Sep 8, 2009 Posts 110 Reaction score 4 Nov 4, 2010 #3 Dont jump into the water ,you cant swim. BOB MARLEY
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Nov 4, 2010 #4 Double X said: hiyo ndio inaitwa nguvu ya umma, hata kama wangechakachua nyamagana ingekuwa kama darfur!!! Click to expand... Ogopa sana watu wanaokula samaki wa maji-baridi
Double X said: hiyo ndio inaitwa nguvu ya umma, hata kama wangechakachua nyamagana ingekuwa kama darfur!!! Click to expand... Ogopa sana watu wanaokula samaki wa maji-baridi