Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
Jamani huko vijijini watu wanachapa mzigo sana si utani.it's about time you went back home and told your people to wake up, the rest of the country is trying to move on. Waache kukaa vibarazani na kufunga kanga vifuani, wafanye kazi!!
it's about time you went back home and told your people to wake up, the rest of the country is trying to move on. Waache kukaa vibarazani na kufunga kanga vifuani, wafanye kazi!!
Ndugu Sanda Matuta,
Umeniogopesha pale unaposema walengwa wa mkutano hasa ni wazaliwa wa Wilaya ya Bagamoyo waishio mikoa ya karibu. This sounds very parochial! Huoni huu ni wakati wa kuwa wapana zaidi kwenye mitazamo yetu?
Wako wenyeji wa Bagamoyo ambao hawakuzaliwa Bagamoyo. Hao si walengwa hasa? Wako pia wazaliwa wa Bagamoyo ambao sio wenyeji wa Bagamoyo.
Bagamoyo itajengwa na wale wanaoipenda. Baadhi ni wazaliwa wa Bagamoyo, wengine ni wenyeji tu wa Bagamoyo, na wengine wanaweza wasiwe hata Watanzania.
Na definition yako ya "mzaliwa wa Bagamoyo" ni ipi hasa? Ni mtu ambaye umbilical chord yake ilipokatwa alikuwa Bagamoyo? Hawapo wazaliwa wa Bagamoyo ambao hawakuzaliwa Bagamoyo?
Bagamoyo ni moja ya vivutio vikubwa vya utalii Afrika mashariki. Potential ya maendeleo ya utalii ni kubwa sana kwa mji huu ila tatizo kubwa ni miundo mbinu na hali duni ya wakazi wake, jambo linalorudisha nyuma msisimko katika mji huu.
Kwa sasa tatizo la miundombinu linakaribia kufukia tamati, kwa mfano kuna barabara ya lami inayounganisha mji huu na ule wa Dar es Salaam. Pia kuna mpango wa barabara ya lami itakayounganisha mji huu na mikoa ya kaskazini mwa Tanzania kupitia Segera. Je ule mradi port ya kimataifa hapo Bagamoyo, mradi huu unafadhiliwa na serikali ya Tanzania au kuna mfadhaili? Kama yupo mfadhili ni nani huyo?
Pia Nawatakia kila la heri katika mkutano huu.
Mama,
Bandari ya kimataifa itahitaji kuweko kwanza na reli na barabara za nguvu. Maana huwezi ukashusha mizigo ya Rwanda, Burundi, Uganda, na Zaire mahali ambapo hakuna reli na barabara za kuiondolea.
Muungwana wetu ana tatizo la "maneno mengi, matendo hakuna"! Ajenge viunganisho vya reli, barabara na kiwanja kikubwa cha ndege hapo kwetu Bagamoyo kabla hajazungumzia bandari ya kimataifa.
Mji wa Bagamoyo ni sehemu ndogo ya Wilaya ya Bagamoyo. Ni tumaini langu kwamba mkutano utazungumzia namna ya "kuifungua" Bagamoyo yote. Misingi ni Elimu, Maji, Barabara, Umeme na Kilimo cha umwagiaji.
Mradi wa awali ambao unaweza kuongeza sana mzunguko wa fedha Bagamoyo ni huo wa conference tourism. Makampuni na mashirika ya Dar, ya sehemu nyingine za Tanzania, na hata ya kimataifa yangependa kufanya mikutano yao Bagamoyo. Kunahitajika conference center ya nguvu. Wawekezaji watapatikana, maana kipo chakula hapo. Wapewe mwaliko na vivutio tu, na utawaona.
Vigezo gani vinatumika kumtofautisha mkazi na asie mkazi wa Bagamoyo? I mean kuna aina ya vitambulisho au ukifika unaingia tu maana wengine tuna mashamba Bagamoyo lakini tunaishi Dar hii vp inakubalika?
Kutakua na Mkutano siku ya Jumamosi tarehe 25/10/2008 pale Urafiki Social Hall Shekilango/Nyuma ya Urafiki Police kuanzia saa Tisa jioni.
Mkutano ni kwa ajiri ya kuzindua taasisi kwa Maendeleo ya Wilaya ya Bagamoyo ( BADEI ).
Wageni wa waalikwa ni wabunge wetu wa wiliya,Bagamoyo mjini na Bagamoyo vijijini Mh.Kawambwa na Mh.Khalfani.
Mnakaribishwa wote,mpe mwenzio ujumbe huu,kufika kwenu ndio mafanikio ya mkutano huu.