Wakazi: Tunatengua hukumu ya kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100, hukumu yenyewe tuliiona mtandaoni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
​

Msanii Webiro Wasira (Wakazi) amesema Wakili Peter Kibatala ameanza mchakato wa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ya kumtaka amlipe fidia ya TZS milioni 100, Clayton Chipando (Baba Levo) kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na za kumkashifu kupitia mitandao ya kijamii. Wakazi amesema taarifa ya hukumu hiyo ameiona mitandaoni.​

Pia Soma:
Wakazi ahukumiwa kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100 kwa kumchafua
 
Setting aside exparte judgement is easy na umefanikiwa jiulize utatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…