Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Boss Zilla wakati
anatoka alibadili Game
na kuipa ladha flan ya tofauti sana na rap tulizozoea Bongo.
Poa labda mantiki yake
ila alivyokua anapita na beat kama unapenda rap lazima uburudike unaposema hujawahi kumkubali kabisa sidhan kama
ulimsikiliza Zilla vyema
Management bila pesa, hawana pesa za kumeji wasanii bali wanataka pesa za wasaniiHahah kwani si ana management yake..imsaidie
Hiyo session ilikuwa ya pili ya kwanza mashabiki walipiga kura akashinda zilla. Ila pia hakuna walichokifanya.Kama nilivyosema mwanzo, Zilla sijawahi kumkubali kabisa. Amejaa ulimbukeni, ushamba na ujinga. Zilla kama Snoop Dogg, wanaweza kwenda na beats ila hakuna cha maana wanachosema.
Nadhani freestyles zinadumaa kwa sababu hakuna 'marefarii' wenye uwezo wa kusimamia. Angalia kama hao jamaa hapo studio.
Bro achana na rap za baada ya kutoka kujifananisha ni 50 rudi nyuma usikilize free style zake kabla hajatoka na rap zake za mwanzoni alikua na kipaji kikubwa...Nimewahi kumsikiliza jamaa kama mara 3 au 4 hivi, ila ni kichefu chefu. Moja, hajui hata matamshi na matumizi sahihi ya lugha, iwe kiswahili au kingereza anacholazimisha. Pili, hana uwezo wa kujadili kabisa, anaropoka mno.
Kwa lugha ya rap, jamaa hana bars kabisa. Labda unionyeshe bob.
Bro achana na rap za baada ya kutoka kujifananisha ni 50 rudi nyuma usikilize free style zake kabla hajatoka na rap zake za mwanzoni alikua na kipaji kikubwa...
Btw amekua na muda mfupi sana kwenye Game hasikiliziki tena kwa sasa
Boss Bars Zilla hakuna kabisaKuna namna moja tu pekee ya kunishawishi kumsikiliza jamaa, nipe bars zake chache tu ambazo umewahi kuzikubali kuwa zina maana.
Sasa kama 50 cent yupo nimsikilize Zilla wa nini??Boss Zilla wakati
anatoka alibadili Game
na kuipa ladha flan ya tofauti sana na rap tulizozoea Bongo.
Poa labda mantiki yake
ila alivyokua anapita na beat kama unapenda rap lazima uburudike unaposema hujawahi kumkubali kabisa sidhan kama
ulimsikiliza Zilla vyema
Boss Bars Zilla hakuna kabisa
hapo nimekuunga mkono ndugu mimi naongelea muundo na
mtindo wake wa rap upande wa fani vile anavyopita na beat
Yeye kama msanii ajiongeze..ana jina kubwaManagement bila pesa, hawana pesa za kumeji wasanii bali wanataka pesa za wasanii
Kama chid benz sio?Yeye kama msanii ajiongeze..ana jina kubwa
Hahaha Mkuu muonee huruma nafikiri hayuko sawa kichwani he looks drunk vilevile .Kwahiyo. Mazishi yake yanafanyika huko huko salasala au mnasafirisha kuleta huku songea?
Hapana madawa sio mpangoKama chid benz sio?
HahahaHapana madawa sio mpango
Labda kiki lakini sio ngadaHahaha