Wakazi wa Goba-DSM hatuna Umeme kuanzia jana Usiku. TANESCO kuna tatizo gani?

Wakazi wa Goba-DSM hatuna Umeme kuanzia jana Usiku. TANESCO kuna tatizo gani?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa

Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme

Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa?

Na hasara zilizojitokeza na zinazoendelea kujitokeza kutokana na ukosefu wa Umeme nani atazilipa?

TANESCO kwa kweli mnakera sana

Pia soma:
KERO - TANESCO acheni ulaghai, kulikuwa na haja gani ya kusema mgawo umeisha huku watu wa Makongo Juu tukilala gizani siku 3 mfululizo?
 
Tanesco mkiwapigia wanasemaje

Ova
 
Back
Top Bottom