Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Global tena π πGlobal ipi hiyo mbona nilipo upo mpaka unamwagika?
Typing error halafu hata sijashtukaGlobal tena π π
Smartphone zina kiherehere sana, zinakuwekea maneno bila wewe kujua.Typing error halafu hata sijashtuka
Na bora hilo kuna neno hata km ni typing error ni aibu yani unaweza kupasua simuSmartphone zina kiherehere sana, zinakuwekea maneno bila wewe kujua.