Wakazi wa Iringa, Jipatie maziwa mtindi.

switi

Senior Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
107
Reaction score
158
Nauza maziwa mtindi. Yametengenezwa katika hali ya usafi na yamechemshwa kabla ya kugandishwa. Lita 1@2,500. Ukiagiza kuanzia Lita 3 unaletewa ulipo ndani ya manispaa.
Piga/SMS 0746060181
 
Haha naufanya unakuwa trend au sio, switi nimekukubali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...

Nikipita iringa nitakuunga kadumu kamoja nije mnywesha Khantwe hadi ashindwe kutembea kurudi kwao alale kwangu.
Kabisa. Ila anafanya unakaa pale juu, so watu wengine wanauona. Maana msipo reply unajificha. Win win situation. Hahaha
 
Haha naufanya unakuwa trend au sio, switi nimekukubali ...

Nikipita iringa nitakuunga kadumu kamoja nije mnywesha Khantwe hadi ashindwe kutembea kurudi kwao alale kwangu.
Karibu sana
Haha naufanya unakuwa trend au sio, switi nimekukubali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...

Nikipita iringa nitakuunga kadumu kamoja nije mnywesha Khantwe hadi ashindwe kutembea kurudi kwao alale kwangu.
Karibu sana
 
Haha naufanya unakuwa trend au sio, switi nimekukubali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...

Nikipita iringa nitakuunga kadumu kamoja nije mnywesha Khantwe hadi ashindwe kutembea kurudi kwao alale kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…